Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Hicho kimbunga ni kile kile kinachokuja Mwanza kila wiki kwa miaka mitano au ni kingine. Kama ni kili kile kinaleta kitu gani kipya? Labda safari hii kama kokoro kinakuja kikiwa kimezoa kila aina ya takataka...sema Mwanza labda watapata fursa ya kuwaona wale wanenguaji stejini!Usinikumbushe Dr. Slaa alivyofunga kampeni Mbeya 2010.😅😅😅 . Mwanza ni jiji sio timu ya volleyball. Subiri kimbunga kije leo kilikuwa Singida.MAGUFULI4LIFE.