Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Si kwa uchaguzi ulio huru na wa haki, hapana. Madikteta siku zote hubaki madarakani kwa mabavu. Sijui ili abaki madarakani safari hii wangapi watatekwa, wangapi watateswa, wangapi watamiminiwa risasi. Hata kwa Hilter ilikuwa hivyo hivyo lakini siku ya siku ilipofika alikimbia mwenyewe akitafuta pa kujificha.
Hiyo ilishachuja njooni na mpya.

MAGUFULI4LIFE.
 
Tundu Lissu akitaka Kura, anachopaswa kufanya ni kuzungumzia vizuri issue ya Maji. Mwanza tunapata tabu Sana ya Maji. Maji shida Sana na wakati ziwa lipo karibu tu mita chache.
Hasa kata ya buswelu daa
 
Haya na hakuna msanii hapo tafauti na kwa magu watu wanakwenda kuona wasanii.
Hao wasanii hawapigi kura? kwa nini hawajajitolea kumnadi wenu? ujue uchaguzi huu hakuna msanii anayelipwa na chama, wote wamejitolea kutokana na mapenzi yao kwa JPM.
 
Magufuli akienda popote lazima shule za msingi na secondary zifungwe, na walimu na wanafunzi wote ni lazima kuhudhuria.

Na watumishi wote wa eneo hilo ni lazima kuhudhuria.

Lakini watumishi wanashindwa kuwabana, ila wanafunzi ni lazima.
 
Tundu Lisu leo katika mkutano mwanza ameuelezea umati wa watu kuwa reli kutoka dar to kigoma ilijengwa na wajerumani, reli toka dar to Arusha ilijengwa na mjerumani, tabora to mwanza ilijengwa na mwingereza, badari, viwanja vya ndege na viwanda, kwanini tuliwafukuza wazungu?
 
We wanted to be FREE, kuwa HURU! Hatukuwa na shida ya vitu, tulikuwa na shida ya UHURU! Tuwe huru kwenye umasikini wetu! leo hatuko HURU, hatuna vitu, Jiwe katupiga kote kote!
 
Magufuli akienda popote lazima shule za msingi na secondary zifungwe, na walimu na wanafunzi wote ni lazima kuhudhuria.

Na watumishi wote wa eneo hilo ni lazima kuhudhuria.

Lakini watumishi wanashindwa kuwabana, ila wanafunzi ni lazima.
Mimi namshangaa Lisu! Yani siku nzima anapiga kampeni mkutano mmoja?
 
Hao wasanii hawapigi kura? kwa nini hawajajitolea kumnadi wenu? ujue uchaguzi huu hakuna msanii anayelipwa na chama, wote wamejitolea kutokana na mapenzi yao kwa JPM.
Magu aliagiza ndege ya rais kwenda nairobi kumchukua mchekeshaji mmoja. Ccm inatumia mabilion kwenye kampeni.
 
Mpaka hapo huyu hatufai ni dhahiri atatuuza huyu!.. Kama hata hajui tofauti ya kufukuza na sisi tulipigania uhuru wetu huyu hatufai..
Kwani sahivi hawaji..? Kwani hajui pato linaloongoza kwa kuingiza hela ni utalii na wengi wao wakiwa haohao wazungu,hivyo ndo tumefukuza!! Wazee wetu walipoka mamlaka yao maana walikuwa wametutawala.

CHAUMA DAMUDAMU..
 
Tundu Antipas Lissu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Mwanza kwa kishindo kikubwa.

Akiambatana na Mgombea Mwenza pamoja na Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe mgombea huyo amelakiwa na umati mkubwa wa watu ambapo maandamano yameanzia katika Uwanja wa ndege kuelekea Uwanja wa Furahisha.

Msururu mkubwa wa Bodaboda,magari na watu kujipanga kandokando ya Barabara ndivyo vilivyopamba mapokezi yake.
View attachment 1555426
View attachment 1555429View attachment 1555430View attachment 1555431View attachment 1555432
 
Tundu Lisu leo katika mkutano mwanza ameuelezea umati wa watu kuwa reli kutoka dar to kigoma ilijengwa na wajerumani, reli toka dar to Arusha ilijengwa na mjerumani, tabora to mwanza ilijengwa na mwingereza, badari, viwanja vya ndege na viwanda, kwanini tuliwafukuza wazungu?
Eeeeh kayasema hayo tena huko Mwanza leo!? Vipi huyu mgombea, nilimsikia akiyasema hayo huko Ikungi, wakati wa kutafuta wadhamini, huyu vipi? Kwa hiyo, kwa vile Wazungu, hao wafadhili wake, walijenga reli, mabarabara na na nini sijui, basi baada ya uhuru nchi za Kiafrika ziachane na kujenga vitu hivyo, wajenge nini, MAKABURI au MAPANGO? Huyu vipi, hajui maendeleo yana njia zake za kufuata ikiwa ni pamoja na miundombinu hiyo asemayo, kwa nia na haja ya kuharakisha ukuaji wa uchumi. Huyu vipi akamuulize Amsterdam kama kwao wameacha kujenga vitu hivyo?
 
Back
Top Bottom