Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

MAGUFULI4LIFE.
Si kwa uchaguzi ulio huru na wa haki, hapana. Madikteta siku zote hubaki madarakani kwa mabavu. Sijui ili abaki madarakani safari hii wangapi watatekwa, wangapi watateswa, wangapi watamiminiwa risasi. Hata kwa Hilter ilikuwa hivyo hivyo lakini siku ya siku ilipofika alikimbia mwenyewe akitafuta pa kujificha.
 
Lissu kafunika vibaya Mwanza songa mbele kama unakubalika huko basi kwingine ni mdebwedo tu peopleeeeeess!
Nani kawadanganya tuliokuja uwanjani ni wapiga kura wa Lissu? watu tumekuja kushangaa muujiza unaotembea, subirini mwanaume atapoutapisha CCM Kirumba.
 
Hao ni wengi kupita kiasi
Hivi kwa nn mnabeba wasanii?
Hakuna wasaniii hapa bali wanaanchi wanyonge walioumizwa na sera za Jiwe..

FBF0342A-508C-4F1D-AB11-DDFD3FF765A9.jpeg
 
Lipo jambo CCM inapaswa kujifunza hapa,ni wiki chache tu mchakato wa uchaguzi ukiwa umeanza mawaziri walitawanywa kila kona wanazindua na kutafutiza miradi mipya huku wakimsifu Magufuli,ni wiki chache tu tumeshuhudia vyombo vikifuta post za Lissu wakati wa kutafuta wadhamini,pamoja na hayo lakini bado anapata watu wa kutosha ingekuaje ulingo ungelikua sawa,ingelikuwaje kama kusingelikua na katazo la mikutano nimesema siku zote 'THE WIND OF CHANGE IS BROWING,BETTER CREATE BETTER AND STRONG INSTITUTION THAN CREATING HEAVY AND STRONG PEOPLE"
 
Nani kawadanganya tuliokuja uwanjani ni wapiga kura wa Lissu? watu tumekuja kushangaa muujiza unaotembea, subirini mwanaume atapoutapisha CCM Kirumba.
Haya na hakuna msanii hapo tafauti na kwa magu watu wanakwenda kuona wasanii.
 
Back
Top Bottom