Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Mapokezi ya Lissu hayaja fikia hata robo ya mapokezi ya Lowasa lakini bado Lowasa alitoka kapa.mpaka sasa Lissu hajafikia kiwango cha kudekiwa barabara,bado tena bado saana.

..hali hii inatia mashaka sana.

..upo uwezekano watu wachache kujitokeza kupiga kura.
 
Tundu Antipas Lissu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Mwanza kwa kishindo kikubwa.

Akiambatana na Mgombea Mwenza pamoja na Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe mgombea huyo amelakiwa na umati mkubwa wa watu ambapo maandamano yameanzia katika Uwanja wa ndege kuelekea Uwanja wa Furahisha.

Msururu mkubwa wa Bodaboda,magari na watu kujipanga kandokando ya Barabara ndivyo vilivyopamba mapokezi yake.
🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 Nimeshasema huyu mtu akifikisha kura 1.5M nipigwe ban.

MAGUFULI4LIFE.
 
Mapokezi ya Lissu hayaja fikia hata robo ya mapokezi ya Lowasa lakini bado Lowasa alitoka kapa.mpaka sasa Lissu hajafikia kiwango cha kudekiwa barabara,bado tena bado saana.
Usiiishi maisha ya kukariri mwaka huu ipo Neeema inakuja
 
Nasikia Simba wanajiandaa na ziara ya Mbeya
Kwa hiyo wasicheze ligi kuu kisa Lissu? Nyie mbona mna mawazo ya kijinga ya kuhisi kuhujumiwa na Kila mnayemuona Yuko bize na Mambo yake?

Ligi kuu imeanza rasmi na Simba amefuata ratiba ya TFF kwenda kucheza na Ihefu Fc.
 
CHDM ruzuku mmepeleka wapi? Mbona hata matangazo hakuna? Maana huku watu Wala Hawana taarifa,au mpaka tuingie jf? Na you tube? au ndo mikakati ya mbowe kumhujumu Lisu ishaanza? Safari hii mbowe atauza hadi mgombea heheheeee.
Kama picha tu ukipost humu jamii forums zinazuiwa zisionekane, unategemea kuna chombo cha habari kitaruhusiwa kurusha habari za chadema? Mnatamba kuwa mmefanya mambo ambayo hayajawahi fanywa toka uhuru lakini ni waoga kuliko hata kunguru. SHAME ON YOU
 
We ni mtu ovyooo.
Nakufananisha na mkasi ambao ili utende na kuongea vema lz ushikwe kwa ustadi backward.......uku......
Bila shaka atakuwa ameambatana na wasanii wa kimataifa kama Justine Bieber, Rihanna, Beyonce, Lil Wayne, J zee, Chris Brown, Arnold, Rambo, Jet Lee, Jack chain, na wengine kibao bila kusahau Mr bean.
 
Kama picha tu ukipost humu jamii forums zinazuiwa zisionekane, unategemea kuna chombo cha habari kitaruhusiwa kurusha habari za chadema? Mnatamba kuwa mmefanya mambo ambayo hayajawahi fanywa toka uhuru lakini ni waoga kuliko hata kunguru. SHAME ON YOU
Ruzuku yote mumeila wenyewe kwa hiyo baada ya kushiba mnataka vyombo vya habari viwarushe Bure!!! Wao hawana wafanyakazi wa kuwalipa ,hawalipi bili za umeme,Wala leseni Wala TRA?

Mlijua uchaguzi unakuja mlitegemea kuwa vyombo vya habari ni charity organization ya mama huruma mama Teresa?
 
HATUWATAKI NDIO MAANA TULIWAFURUSHA, WAKAKIMBILIA KURIPOTI POLICCM
 
Back
Top Bottom