Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Kama online tv yao imewashinda kuendesha nchi wataiwezea wapi!!!?????
Unajitahidi kufuatilia online ya Chadema bila shaka unahitaji ajira usaidie kuiendesha.Ila maudhui ya Tv yako yako uzingatie tabaka la wakubwa la sivyo tutakung'oa kucha.Hahahahahahahahaha
 
Huu mkutano wa lisuu, watu hakuna kabisa, mtaani kumepoa Kama vile hakuna kinachoendelea 😲😲, 🤣🤣🤣..! Sasa Mwanza Magufuli unamtoaje,ujenzi wa stend mpya ya kisasa, mradi wa ujenzi wa soko kubwa la kimataifa Mwanza Kati, ukarabati wa uwanja wa ndege, Barbara, daraja la busisi, Tundu atawaambia Nini watu wamuelewe?😂. Watu hakuna kabisa hapa😂😂
 
Unajitahidi kufuatilia online ya Chadema bila shaka unahitaji ajira usaidie kuiendesha.Ila maudhui ya Tv yako yako uzingatie tabaka la wakubwa la sivyo tutakung'oa kucha.Hahahahahahahahaha
Ndio mipango yenu kung'oa watu kucha😆😆
 
Huu mkutano wa lisuu, watu hakuna kabisa, mtaani kumepoa Kama vile hakuna kinachoendelea 😲😲, 🤣🤣🤣..! Sasa Mwanza Magufuli unamtoaje,ujenzi wa stend mpya ya kisasa, mradi wa ujenzi wa soko kubwa la kimataifa Mwanza Kati, ukarabati wa uwanja wa ndege, Barbara, daraja la busisi, Tundu atawaambia Nini watu wamuelewe?😂. Watu hakuna kabisa hapa😂😂
John Pombe Magufuli anatosha
 
Sato bei kwa sisi walalakufa haishikiki. Tunaambulia mchuzi wa panki wanaouzwa hapo Mwanza south. Bei ya panki ni saizi yetu. "Mhuuu. Mayu wane"!!!
We Kama unakula panki Ni wewe na ukoo wako😂😂, samaki nyingi tu.Kimsingi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Chadema mazombi sana wanapiga vita ununuzi wa ndege, lakini Lissu anatumia ndege hizo kusafiri kuwahi mikutano,Dar to Kilimanjaro na Kilimanjaro to Mwanza.

Mwanza hawatamuelewa kabisa mji ule ulikuwa kimya kwa miaka 25 bila kusikika kwa HORN ya Meli kubwa.HORN hiyo imerudishwa na JPM kwa kutupia meli mbili kubwa MV Victoria na MV Butiama aka HAPA KAZI TU. Kanda ya ziwa symbol kuu ni Meli na HORN zake zinapopigwa kuashiria kung'oa au kutia nanga you always feel the environment of the beautiful ROCK CITY.Tundu Lissu hana cha kusema pale.Magu ni mtoto wa Mwanza
Wakati huo watu wa Mwanza hatusikii honi ya meli CCM ilikuwepo au vipi? Hata wakati wa mkoloni kulikuwa na meli zinatembea ziwa Victoria.
 
Hivi kisheria Tundu anaruhusiwa kukanyaga ardhi ya Mwanza?
Hamnazo wewe? Aruhusiwe mwizi na mporaji wa KOROSHO akataliwe mtetezi wa wanyonge? Aruhusiwe waziri wa amani mnyapara wa nyumba aliyeuza nyumba kwa mahawala zake akataliwe mpambanaji lisu
 
Mimi niko jirani sana na uwanja wa furahisa panapofanyika mkutano, lakini sikuwa najua kabisa kama CHADEMA wanafanya mkutano hapo, hii inaonesha wazi kabisa yule raia wa UBELIGIJI mwenye asili ya TANZANIA keshapigwa bao 3-0 dakika za mwanzoni tu na haoneshi dalili yeyote hata kufurukuta ili kujinasua
 
Tatizo sijui nini kwa chadema, hadi sasa hakuna picha yoyote au video kwa kinachoendelea mwanza. Stupid
 
Back
Top Bottom