Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Ccm wamechoka wamekua wazee hawana nguvu tenaaaa..... Kimoko tu chaliiii.....

Tundu Lissu Rais
Toka waende dodoma sijawasikia tena. Unategemea mtu kwma Ndugai angefanya vipi Kampeni?? Mwili wenyewe afya iko wapi??
 
Leo huko ikungi singida amewaomba wananchi wamuombe lissu amuachie uraisi atamtafutia kazi.
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi

Badala ya kujengea daraja:-

Barabara ya Sengerema - Katungulu - Kamanga.

Katungulu - Nkome.

Geita - Kahama.

Kigongo ferry - Kahama.

Sengerem
a - Nyehunge - Kahunda


BARABARA ZOTE HIZO ZINGEJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI, UCHUMI UNGEPAA.

Daraja ni mlango wa kupigia pesa (10%) RUSHWA.
 
Maskini Afisa Elimu huyu hajui lolote kuhusu democrasia ,hajui lolote kuhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa,dah walimu wana kazi jamani kwanini sijawahi kusikia mganga mkuu wa mkoa akiwaambia maneno kama hayo madaktari walio chini yake? huyu kwanza anatakiwa afunguliwe mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi ya uma.
Kuna majina si ya kuwapa watoto. Wazee tunakosea sana!
 
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha.

Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa

Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano minne ya kampeni ambapo mitatu ilikuwa jijini DSM na mmoja ulikuwa jijini Arusha hapo Jana.

Chadema katika uchaguzi mkuu huu inatumia kauli Mbiu ya Uhuru,Haki na Maendeleo ya watu.

#UhuruHakiNaMaendeleoyawatu#
#Niyeye2020#
Pambana lissu tupo nyuma yako.
 
Lissu kuleta kishindo Mwanza ni ndoto za mchana. Kwa wadhamini tu alipita hata boda boda hawakuwa na muda nae
 
Ulishaona wauza mapanki Mwanza wangap? Kila Kona sato kibao
Sato bei kwa sisi walalakufa haishikiki. Tunaambulia mchuzi wa panki wanaouzwa hapo Mwanza south. Bei ya panki ni saizi yetu. "Mhuuu. Mayu wane"!!!
 
Back
Top Bottom