Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida ni yetu CCM tukisafirisha wanachama wetu kwenda mkutanoni kea nini watembee kwa miguu Wakati wanachama Wana magari na pikipiki za kuwabeba?Tumepiga za Drone,imepatikana hii.View attachment 1555201
Huyo Lissu na poyoyo wake Salum Mwalimu ikulu wataiona kwenye picha tu.Endelea kuwa hewani, utapata jibu baadae..
Kingine Lisu amekuwa akiongelea kuwa watatoa bima ya afya Bure !! Mwanza ni mkoa mmoja wapo unaoongoza kwa watu wake kuwa na afya hawaugui ugui hovyo Hakuna malaria kule na hata wakiumwa wengi huwa hawaendi hospital wanatumia dawa za kienyeji .Hiyo bima yake ya afya ana kazi ya ziada kuielezea Mwanza waielewe!!!
Mlinzi wa rasilimali zao.
Njoo hapa HAI IN karibu na Wande'sNiko Mwanza.. sehemu gani pazuri pakulia tungi?
Kwani kusombelezea hawajaacha?Tumepiga za Drone,imepatikana hii.kwani ccm kusombelezea hawaja achaView attachment 1555201
Chadema mazombi sana wanapiga vita ununuzi wa ndege, lakini Lissu anatumia ndege hizo kusafiri kuwahi mikutano,Dar to Kilimanjaro na Kilimanjaro to Mwanza.Amekuwa akiponda ununuzi wa Ndege jibu atalipata mwanza Ndege ukiuliza wauza samaki mitaani watakuambia jinsi abiria wa Ndege wanavyobeba samaki kwa wingi.
Hapo akienda na porojo zake za kupinga ununuzi wa Ndege aone wavuvi na wauza samaki watakavyoguna hata Kama Ni Chadema.
Ndege nyingi hufurika Mwanza kubeba samaki kupeleka nje ya Nchi kibao akiponda ununuzi wa Ndege Mwanza hata mtu wa mtaani atamzomea sababu wanajua umuhimu wa Ndege kwenye biashara yao ya samaki
Mbona Bashite na Lameki Madilu walikuwepo, au hukuwa na panga kule Jamuhuri Dodoma?Ni idadi gani ya wapiga kura wote? Jitu Lina vyeti feki Nani analitaka pumbafu zake .CCM hatutaki kura zao Tena waambieni kabisa hatuzitaki.Jitu linazibia nafasi ya vijana wamekesha wakisoma hawalali wapate vyeti halali lenyewe linaenda kubana nafasi .Hata wakija Mkutano wa CCM Mimi nikiwajua nitawakimbiza na panga waje kwenye mikutano yenu Chadema matapeli wenzao
Kisheria za Lumumba haruhusiwi,ila kisheria za nchi anaruhusiwa tuHivi kisheria Tundu anaruhusiwa kukanyaga ardhi ya Mwanza?
Kabisa mkuu... Ukiwa mikoa mungine unaweza kudhani Mwanza hakuna shida ya maji.... Yani ni aibuuuTundu Lissu akitaka Kura, anachopaswa kufanya ni kuzungumzia vizuri issue ya Maji. Mwanza tunapata tabu Sana ya Maji. Maji shida Sana na wakati ziwa lipo karibu tu mita chache.
Dada au mobutu seseseko kuku wazabangaHongera zenu. Naomba huko kannda ya ziwa mkutano mmoja uwe Chato tena ikiwezekana iwe pale pale nyumbani kwa Nduli Idd Amin
Hizo hela unawapa wewe? Hao wasukuma hawana lolote kazi kuhama hama kutafuta maisha mazuriMwanza watu Wana pesa wewe mijini Hadi vijijini soda kukuta kijijini inauzwa elfu moja sio kitu Cha ajabu sababu ni kuwa vijijini Kuna utajiri wa mifugo,pamba na samaki na dhahabu Purchasing power Yao iko juu .Mjini Wana hela na vijijini Wana hela hiyo ndio sababu
Tutarudi awamu ya mwisho kufunika mashimo hayo machafu ya ccmILA NAONA CCM wako kimya, Nadhani wamewaacha chadema waanza ili wao wawe wa mwisho, kupoteza memory ya wapiga kura wa lissu.
Mmmh mahabaView attachment 1555051
Jamani hili bango la kampeni vipi