Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

 
Wazungu walijenga kwa maslahi yao, sisi tunajijengea kwa maslahi yetu kama taifa.

Alafu mwambie, uhuru upi anaongelea ilihali tumetumia uhuru wetu kupambana na corona na tukafanikiwa?

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Maslahi yenu wewee na Nani? Jiwe hafai hata Irene uwoya ama mchizi mox akiwa Rais anaweza tu kujenga reli.
He must go PERIOD
 
Tundu anastahili kuwa mbunge wa viti maalum vya raisi
 
Ndugu yangu ananiambia tumeenda kumwangalia lissu mkutanoni lengo letu tuone vyuma vyake mbona hakuja navyo? Amenifanya nicheke kwa nguvu
 
Mku kwani ni uongo. Kasome historia hata ya darasa la tano mwanaccm wenzangu. Tujenge hoja panapo hitajika
 
Bila shaka atakuwa ameambatana na wasanii wa kimataifa kama Justine Bieber, Rihanna, Beyonce, Lil Wayne, J zee, Chris Brown, Arnold, Rambo, Jet Lee, Jack chain, na wengine kibao bila kusahau Mr bean.
Lissu kabeba wasaanii 200, kama tu jana ilivyokuwa pale Arusha CCM waliwalipa simba wacheze kiingilio bure Lissu akakosa watu.
Lissu asikilize ushauri wa Magu, ajitoe urais Magu atampa kazi kama Mrema alivyopewa, atakuwa mkuu wa bodi ya PAROLE
 
Ndugu watanzania hizo; Ndege, Balabala, madalaja, flyover, step over, reli, shule, Hospitali, stendi za kisasa, bandari; za majini na nchi kavu, masoko nakadhalika havitumiwi na CCM pekee, wala havitumiwi kwa maslahi ya wanaCCM pekee. Hii ndio Tanzania yetu inapelekwa kileleni kwa style hii ndugu zangu...

Kwa Afrika ya sasa ni bahati sana kuwa na kiongozi mwenye dira kama JPM.

Anyway hatutachoka kuwakumbusha kwamba hii ni nchi ambayo imebarikiwa kuwa na rasilimali za kutosha na JPM amefanikiwa kuzitumia ipasavyo.

Wadau tuwe siriazi basi japo kwenye hili la kupinga maendeleo yetu wenyewe.


Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Hao ni wengi kupita kiasi
Hivi kwa nn mnabeba wasanii?
Kuna mtu mmoja kaniambia ofisi leo huko Singida zilifungwa na wote kuambiwa kwenda kumsikiliza rais.
Magari ya matangazo yalikuwa yanapita mitaani kutanga uwepo wa wasanii karibu 100 kwenye uwanja wa kampeni ya JPM.
 
Hao wasanii hawapigi kura? kwa nini hawajajitolea kumnadi wenu? ujue uchaguzi huu hakuna msanii anayelipwa na chama, wote wamejitolea kutokana na mapenzi yao kwa JPM.
Kwani kwa Ccm wamejitolea?
Wewe jamaa mi bumunda + sukule kweli kweli.
 
Lissu mpaka ikifika siku ya 30 atakua amejimaliza kabisa...hoja gani hizi
 
Lisu anamuiga Magufuli?

Basi sawa.
Kwani Magufuli anafanya kampeni moja kwa siku? Thubutuuu!!!
Leo aliyoyaongea huko Ikungi - Singida ni ishara tosha kuwa "amekamatika" haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…