Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafikiri Watu wa Lissu watalipiza kisasi kwa njia ile ile ya Mzee wa kinyaturu ajifiche nyuma ya Ng'ongo halafu alipue mshindo mmoja gobole huwa halikosi moshi ukishaisha wasanii 300 watakuwa wanalia kua mlipaji kawatoka Diamondi atakuwa wa kwanza kuimba nyimbo za kuutuliza mamboLeo nimemtazama bwana yule, kweli kesha ingiwa na uoga kabisa na hajiamini tena.
Na ndio maana waliondolewa katika utawala ili raia wawe huru. Sasa hapo hujaelewa nini?Je hivyo vyote wazungu walijenga bure? Hakukua na forced labour, harsh taxation,discrimination na factors nyingine za kumkandamiza mzawa?
Nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anafikiri Watu wa Lissu watalipiza kisasi kwa njia ile ile ya Mzee wa kinyaturu ajifiche nyuma ya Ng'ongo halafu alipue mshindo mmoja gobole huwa halikosi moshi ukishaisha wasanii 300 watakuwa wanalia kwa mlipaji kawatoka Diamondi atakuwa wa kwanza kuimba nyimbo za kuutuliza mambo
Na ndio maana waliondolewa katika utawala ili raia wawe huru. Sasa hapo hujaelewa nini?
Kumbe ya historia! Nilifikiri ni ya mambo ya sasa. Kumbe imepitwa na wakati.Tundu Lissu Mwanza;
Viwanja vyote vya ndege vilianzishwa na Waingereza isipokuwa KIA, Songwe na Chato.
Reli inayokuja Mwanza ilijengwa na Waingereza.
Reli ya Tanga hadi Arusha ilijengwa na Wajerumani.
Reli ya Kati ilijengwa na Wajerumani.
Reli ya TAZARA ilijengwa na Nyerere kwa msaada wa Wachina.
Bandari ya Mwanza ilianzishwa na Wajerumani.
Bandari ya Kigoma ilianzishwa na Wajerumani.
Bandari zote kubwa za bahari ya hindi zilianzishwa na Wajerumani.
Hata ikulu ya Dar es salaam ilijengwa na Wajerumani na baadae ikaboreshwa na Waingereza.
Kwanini tuliwakataa Waingereza na Wajerumani?
Ni kwa sababu utawala wao haukuwa wa haki.
Oktoba mwaka 1968 Mwalimu Nyerere alichapisha andiko lake liloitwa Uhuru na Maendeleo.
Mwalimu alisema, Uhuru na Maendeleo ni kama Kuku na Yai. Hupati Kuku bila Yai na hupati Yai bila Kuku. Hupati maendeleo bila Uhuru na hupati Uhuru bila maendeleo. Maendeleo lazima yahusishe watu. Vitu kama barabara, majengo makubwa, reli nk sio maendeleo, bali ni nyenzo za kutuletea maendeleo. Hakuna maana kama tunajenga mabarabara halafu raia wanakamatwa hovyo kwa sababu ya kumuudhi mtu mwenye madaraka.
Lissu akaendelea.
Sikatai kuwa ujenzi wa barabara ni jambo zuri. Sikatai ujenzi wa reli ni jambo zuri.
Lakini utawala wa haki ni muhimu kuliko hayo yote.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
Rais wa Marekani, Ronald Reagan aliwahi kusema maneno kama hayo. Akaongeza kuwa Raia wa Marekani ana thamani kubwa kuliko mabarabara ya ghorofa na silaha za Nyuklia. Kwa sababu hayo yote yapo kwa faida ya Raia wa Marekani, na sio kwamba Raia wa Marekani yupo kwa faida ya hivyo vitu.
Theodore Roosevelt naye alisema; haki za Mali na haki za binadamu zinakwenda sawa. Lakini ikitokea haki hizi zinapihana basi haki za binadamu zipewe kipaumbele. Kwa sababu Mali zipo ili zimnufaishe binadamu, sio binadamu azinufaishe mali.
Kwa lugha nyepesi ili mswahili wa kawiada aelewe; ni kwamba, Kujenga miundombinu ya mikubwa huku wananchi wakitegemea mlo mmoja, huku raia wana hofu ya kutoa maoni yao, bado watu wanatekwa, kupotezwa na kuuawa bila uchunguzi, huku miili ya watu inaokotwa halafu serikali inaizika bila uchunguzi...
Asante Mwanza, Asante Tanzania.View attachment 1555631View attachment 1555632
Nawakubali sana Simba,ila kwenye hizo ziara wanatumika au wao pia wanaratiba yao?Naomba kama ndivyo basi haitakuwa na afya sana kwa mustakabali wa timu hiyo kipenzi cha wengi bila kujalisha vyama vyao.Nasikia Simba wanajiandaa na ziara ya Mbeya
Wee naye mzito kama jiwe.Kwahiyo hitimisho kasema atawafanyia nini watu wa Mwanza?
Hizi ni akili mgando....kutokwenda kwenye mkutano sio dalili ya kuchoka chama..Chadema wengi ni wasomi na wafanya biashara na sio jobless...watu wametingwa na majukumu ila Kura tunampa Lissu....Ila siku hizi watu wamekata tamaa na CDM asee mana ile 2015 ilikuwa ukichelewa kidogo kufika eneo la tukio usingepata nafasi ya kusimama hapo jirani labda ukasimame Mita kama mia tatu hivi hata mgombea humuoni
Unahofia MB mbona tupo uchumi wa kati.Hizo mb sasa
Unajifanya kushupaza shingo kumtetea huyo dikteta wako kumbe una njaa Kali kiasi kwamba ku 'view' clip ya sec 5 tano tu unalia na Megabytes.Hizo mb sasa
Hiyo historia ya nchi, wakoloni na miundo mjini waliyoijenga kila mtanzania anaijua maana tulifundishwa tangu shule ya msingi.Tundu Lissu Mwanza;
Viwanja vyote vya ndege vilianzishwa na Waingereza isipokuwa KIA, Songwe na Chato.
Reli inayokuja Mwanza ilijengwa na Waingereza.
Reli ya Tanga hadi Arusha ilijengwa na Wajerumani.
Reli ya Kati ilijengwa na Wajerumani.
Reli ya TAZARA ilijengwa na Nyerere kwa msaada wa Wachina.
Bandari ya Mwanza ilianzishwa na Wajerumani.
Bandari ya Kigoma ilianzishwa na Wajerumani.
Bandari zote kubwa za bahari ya hindi zilianzishwa na Wajerumani.
Hata ikulu ya Dar es salaam ilijengwa na Wajerumani na baadae ikaboreshwa na Waingereza.
Kwanini tuliwakataa Waingereza na Wajerumani?
Ni kwa sababu utawala wao haukuwa wa haki.
Oktoba mwaka 1968 Mwalimu Nyerere alichapisha andiko lake liloitwa Uhuru na Maendeleo.
Mwalimu alisema, Uhuru na Maendeleo ni kama Kuku na Yai. Hupati Kuku bila Yai na hupati Yai bila Kuku. Hupati maendeleo bila Uhuru na hupati Uhuru bila maendeleo. Maendeleo lazima yahusishe watu. Vitu kama barabara, majengo makubwa, reli nk sio maendeleo, bali ni nyenzo za kutuletea maendeleo. Hakuna maana kama tunajenga mabarabara halafu raia wanakamatwa hovyo kwa sababu ya kumuudhi mtu mwenye madaraka.
Lissu akaendelea.
Sikatai kuwa ujenzi wa barabara ni jambo zuri. Sikatai ujenzi wa reli ni jambo zuri.
Lakini utawala wa haki ni muhimu kuliko hayo yote.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
Rais wa Marekani, Ronald Reagan aliwahi kusema maneno kama hayo. Akaongeza kuwa Raia wa Marekani ana thamani kubwa kuliko mabarabara ya ghorofa na silaha za Nyuklia. Kwa sababu hayo yote yapo kwa faida ya Raia wa Marekani, na sio kwamba Raia wa Marekani yupo kwa faida ya hivyo vitu.
Theodore Roosevelt naye alisema; haki za Mali na haki za binadamu zinakwenda sawa. Lakini ikitokea haki hizi zinapihana basi haki za binadamu zipewe kipaumbele. Kwa sababu Mali zipo ili zimnufaishe binadamu, sio binadamu azinufaishe mali.
Kwa lugha nyepesi ili mswahili wa kawiada aelewe; ni kwamba, Kujenga miundombinu ya mikubwa huku wananchi wakitegemea mlo mmoja, huku raia wana hofu ya kutoa maoni yao, bado watu wanatekwa, kupotezwa na kuuawa bila uchunguzi, huku miili ya watu inaokotwa halafu serikali inaizika bila uchunguzi...
Asante Mwanza, Asante Tanzania.View attachment 1555631View attachment 1555632
Wako kimya wapi? Leo si walikuwa Singida? Wametangazwa na TV zote nchini lakini watu wamewachoka hawana mvutoILA NAONA CCM wako kimya, Nadhani wamewaacha chadema waanza ili wao wawe wa mwisho, kupoteza memory ya wapiga kura wa lissu.
We nae mgumu kuelewa... ndo maana anakwambia kina nyerere waliamua kuunganisha nguvu kumkataa coz hivo ulovitaja vilileta mushkelJe hivyo vyote wazungu walijenga bure? Hakukua na forced labour, harsh taxation,discrimination na factors nyingine za kumkandamiza mzawa?
Huyu Dogo anakubalika na kila mtuBwana mdogo anaenda DODOMA kuwakilisha Jimbo la nyamagana 2020-2025
Ccm walikosa mtu imara nyamagana....
Siku moja ntaandika KUHUSU huyu bwana mdogo....
Kila la kheri John Justin Pambalu
View attachment 1555659