Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Wasukuma wenzangu mnenifurahisha sana. Huu ujumbe tosha kwa Jiwe. Hatutaki ujinga sasa hivi. Lissu ndie Rais wetu.
 
Leo nimemtazama bwana yule, kweli kesha ingiwa na uoga kabisa na hajiamini tena.
Anafikiri Watu wa Lissu watalipiza kisasi kwa njia ile ile ya Mzee wa kinyaturu ajifiche nyuma ya Ng'ongo halafu alipue mshindo mmoja gobole huwa halikosi moshi ukishaisha wasanii 300 watakuwa wanalia kua mlipaji kawatoka Diamondi atakuwa wa kwanza kuimba nyimbo za kuutuliza mambo
 
Je hivyo vyote wazungu walijenga bure? Hakukua na forced labour, harsh taxation,discrimination na factors nyingine za kumkandamiza mzawa?
Na ndio maana waliondolewa katika utawala ili raia wawe huru. Sasa hapo hujaelewa nini?
 
Nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe ya historia! Nilifikiri ni ya mambo ya sasa. Kumbe imepitwa na wakati.
 
Nasikia Simba wanajiandaa na ziara ya Mbeya
Nawakubali sana Simba,ila kwenye hizo ziara wanatumika au wao pia wanaratiba yao?Naomba kama ndivyo basi haitakuwa na afya sana kwa mustakabali wa timu hiyo kipenzi cha wengi bila kujalisha vyama vyao.
Nimewaza kwa sauti tu!!!
 
Ila siku hizi watu wamekata tamaa na CDM asee mana ile 2015 ilikuwa ukichelewa kidogo kufika eneo la tukio usingepata nafasi ya kusimama hapo jirani labda ukasimame Mita kama mia tatu hivi hata mgombea humuoni
Hizi ni akili mgando....kutokwenda kwenye mkutano sio dalili ya kuchoka chama..Chadema wengi ni wasomi na wafanya biashara na sio jobless...watu wametingwa na majukumu ila Kura tunampa Lissu....
 
Hiyo historia ya nchi, wakoloni na miundo mjini waliyoijenga kila mtanzania anaijua maana tulifundishwa tangu shule ya msingi.
Kwa hiyo yeye anataka kuleta wakoloni gani na waje kufanya nini? Tundu buana😁😁😁
 
ILA NAONA CCM wako kimya, Nadhani wamewaacha chadema waanza ili wao wawe wa mwisho, kupoteza memory ya wapiga kura wa lissu.
Wako kimya wapi? Leo si walikuwa Singida? Wametangazwa na TV zote nchini lakini watu wamewachoka hawana mvuto
 
Tunakuja na Fiesta.. tunakuja kuwashika....Mondi ndani, Kondeboy ndani dadadeq...
 
Je hivyo vyote wazungu walijenga bure? Hakukua na forced labour, harsh taxation,discrimination na factors nyingine za kumkandamiza mzawa?
We nae mgumu kuelewa... ndo maana anakwambia kina nyerere waliamua kuunganisha nguvu kumkataa coz hivo ulovitaja vilileta mushkel
 
hii tafsiri yake JPM ajue hao ndugu zake hawana shukrani bora hili daraja lisitishwe kujengwa tu
Busisi-Kigongo, Mwanza urefu wa kilomita 3.2 kwa gharama ya Sh582 bilioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…