Parvovirus
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 268
- 188
Mkuu hivi barabara gani ambayo alijenga mkoloni ambayo mpaka leo bado ipo?
Ujenzi wa miundombinu mbalimbali unategema expansion ya population ambayo inaendana na kukua kwa miji so lazima utajenga tu miundombinu mipya.
Chukua mfano wa bandari lazima ubora wake uwe upgraded maana inahitaji kukidhi mahitaji ya kipind hiki though ilijengwa na mkoloni lakin ilivyoleo unaweza linganiasha na ya mkoloni 5yrs before, vivyo hivyo dar airport...
Hawa jamaa uwezo wa akili zao kufikiri ni mdogo sana

Kumjibu kifupi Lisu Ni kuwa Kodi zote na faida za miundo mbinu zilienda kujenga Ulaya sio Tanzania ndio masna tulamkimbiza mkoloni pamoja na kujenga miundo mbinu
Leo faida za miundo mbinu yetu inabaki nchini .Lisu hajui hata historia
Walijenga reli,barabara sawa lakini faida haikubaki nchini!!!
Hotuba yake hopeless
Tulidai Uhuru faida ibaki nchini isiende kujenga ujerumani na uingereza kwa wakoloni