Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Hii nimeshuhudia live mitaa ya round about ya utopolo mkoa,rpc kaziba njia ya nyerere road msafara usipite wananzengo wakataka kulianzisha.
Busara za wenje ndio zimesaidia
 
Nyie wasanii 200 ni sawaa
 
Molemo nyie ndio mnakwamisha maendeleo. Yaani mmeshindwa kuwa live kwa sababu gani? Leo nimehangaika kufuatilia naambulia vipande viapande tu vya dakika 3? Bure kabisa ngombe nyie!
 
Kwa kile nilichokiona leo mwanza nimeanza kuwa na mashaka Nahisi kuna nguvu ya ajabu aliyonayo huyu mhe lissu hatΓ  kama ni mahaba kwa watu wa mwanza hii sasa imepitiliza mpaka nimehisi kuwa inawezekana wale wachawi 900 wamemkimbia mzeee hivyo upepo umegeukia upande wa lissu! Ikiwa upepo utaendelea hivi basi inabidi ccm waachane na maswala ya wasanii wajipime kwa kufanya mkutano bila wasanii ili waone kama kweli huu mziki watauweza vinginevyo hawataamini 28
 

Mwaka huu mtachina.
 

Attachments

  • VID-20200901-WA0027.mp4
    1.2 MB
Mumekusanya bodaboda na wakurya wamilimani,
 
Uwanja wa furahisha Ni padogo Sana Ni saizi ya mwakasege asubiri JPM atakapo tia team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…