Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chadema amesema “ Leo Magufuli amefika Ikungi nyumbani kwa kina Lissu na kusema atamtafutia Lissu kazi ndogo ndogo aachane na Urais, na sisi tunamjibu Magufuli kuwa Urais sasa baasi kuanzia 28/10/2020 Rais atakua Ndugu Tundu Antipas Lissu.
Hahaa nilitamani iwe hivyo lakini naogopa kuja kuumia moyoni. Baada ya Mavu kuapishwa tena.
 
Tundu Antipas Lissu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Mwanza kwa kishindo kikubwa.

Akiambatana na Mgombea Mwenza pamoja na Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe mgombea huyo amelakiwa na umati mkubwa wa watu ambapo maandamano yameanzia katika Uwanja wa ndege kuelekea Uwanja wa Furahisha.

Msururu mkubwa wa Bodaboda,magari na watu kujipanga kandokando ya Barabara ndivyo vilivyopamba mapokezi yake.

-------------------

Yaliyojiri mkutanoni Viwanja vya Furahisha

Akihutubia Malaki ya watu mgombea wa Urais Tundu Lissu alilaani serikali ya CCM kwa kumhujumu zao la Pamba ambalo no kitega uchumi Cha watu wa Kanda ya ziwa.

Lissu amesema serikali yake itawajali Wafanyakazi na kila mwaka wataongezewa mshahara kwa mujibu wa sheria za nchi.

Amesema serikali yake inafuata kauli Mbiu ya Uhuru Haki na Maendeleo ya watu.

Amesema serikali yake itaondoa ukandamizaji wa wafanyabiashara ambapo kwa Sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania imekuwa sehemu ya kuhujumu na kuua biashara za Watanzania.

Awali Lissu alisema tangu arejee nchini Mapokezi ya Mwanza ndiyo yamevunja Rekodi kwa wingi wa watu
View attachment 1555426View attachment 1555625View attachment 1555626View attachment 1555627View attachment 1555628
Ongezea na hii
FB_IMG_1598975414168.jpg
 
Bila shaka atakuwa ameambatana na wasanii wa kimataifa kama Justine Bieber, Rihanna, Beyonce, Lil Wayne, J zee, Chris Brown, Arnold, Rambo, Jet Lee, Jack chain, na wengine kibao bila kusahau Mr bean.
Na mechi ya Yanga na Simba wakicheza uchi dakika tisini na tisa
 
Bila shaka atakuwa ameambatana na wasanii wa kimataifa kama Justine Bieber, Rihanna, Beyonce, Lil Wayne, J zee, Chris Brown, Arnold, Rambo, Jet Lee, Jack chain, na wengine kibao bila kusahau Mr bean.
Hapo ni yeye na mgombea mwenza na viongozi wenzake tu
 
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chadema amesema “ Leo Magufuli amefika Ikungi nyumbani kwa kina Lissu na kusema atamtafutia Lissu kazi ndogo ndogo aachane na Urais, na sisi tunamjibu Magufuli kuwa Urais sasa baasi kuanzia 28/10/2020 Rais atakua Ndugu Tundu Antipas Lissu.
Mngemjibu kuanzia 28/10 TL ndio atamtafutia kazi ndogo ndogo JPM.🙂
 
Nimezima gari foleni Kali hapa Mwanza. Kuna watu watafika kwao keaho Ni balaaaaaaaa
 
Chadema leo mmeamua kuwabeba watu kwenye malori na mafuso kama wanavyofanya wale wa Magufuli.
Acheni hizo bwanaaaaa

Nimejaribu kuwaza kama MATAGA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Vipi mkuu hata lb7 mmoja wa kukuunga mkono hamna?

Hapo iko namna.

Na bado!
 
Fuso za Singida zimetia kibindoni fedha ili kuwaburuza wananchi waje kumshuhudia Diamondi Platinumz akihutubia sera za ndege mpya za mizigo
Leo nimemtazama bwana yule, kweli kesha ingiwa na uoga kabisa na hajiamini tena.
 
Back
Top Bottom