Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Acheni kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, jina na hoja zilizopo vina uhusiano gani? Umeana wenye Akili timamu wanajadili jina lako au jina la yeyote? Acha ufala wako komaa na hoja na kama huna hoja endelea kuvuta Bangi mpaka cyprian Musiba atakaporejea toka kwa le mutuz kuchukua ujinga zaidi.Mwambieni Tundu abadilishe hilo jina la Tundu linatia kichefuchefu sana kulitaja.
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Uzalendo ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge?Tutawakeraaaaaa saaana! kumbe mnatufuatila!! karibu kwa wazalendo halisi
Hawa hapa 😆Jana naskia walivotoka uwanjani pale Mkapa stadium wakawapeleka kibasila sijui kula ubwabwa.Ndio maana nchi hii umaskini hauwezi kuisha sababu viongozi wanapenda tuwe masikini na mabolizozo ili watutawale vzr ila safari hii watakiona cha moto hakuna kulala
CCM hutumia umasikini kama njia ya kutawala mileleUnafikiri Ni kwa Nini Dodoma Hali iko hivi....Ni mkoa maskini Sana lakini CCM ndiko imeweka kambi!
Kumbe na mimi ni Robert!
#Ni yeye 2020.Nchi inazizima na kusimama tena..FURAHA IMEREJEA
Mziki upi wakati mliwafungia watu mageti hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaipenda CCM tena, umebakia wewe mnufaika wa kuwabambikia kesi watu mtengeneza blackmail kwa wafanyabiashara unapata pesa kwa kivuli cha uonevu wa mtukufu magufuli, wewe umenufaka kwenye uteuzi wa Serikali ya udikiteta ndiyo maana umejitoa fahamu zote unatetea ufedhuri udhalimu wote wa CCMLisu baada ya kuona mziki wa Magufuli Jana uwanja wa taifa Dar Akakimbia mji usiku ule ule wa jana kuelekea Dodoma kukiwa giza
Chukua dakika kumi halafu niambie faida ambayo CCM itaipata kwa upinzani kukosa Wabunge.Mtajua mwaka huu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Tutawafundisha adabu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila PolisiCCM bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila MsajiliCCM ni weupe sanaKama CCM kupitia Mgombea wake hawatobadilika na kuzifanyia Kazi 'Changamoto' za Kimsingi basi 2025 na siyo 2020 Tundu Lissu atashinda Urais.
Kama ni issue ya majina kwa wagombea naomba unyamaze, maana ukristo na uislam Pombe ni haramu.Mwambieni Tundu abadilishe hilo jina la Tundu linatia kichefuchefu sana kulitaja.
CCM wanataka kuwa kama China full udikitetaChukua dakika kumi halafu niambie faida ambayo CCM itaipata kwa upinzani kukosa Wabunge
Chukua dakika kumi halafu niambie faida ambayo CCM itaipata kwa upinzani kukosa Wabunge
Achana na huyo CCM aliyokosa maarifa dawa ya watu wapenda kujadili majina ni kuwapa madongo tu siyo zaidi.Kama ni issue ya majina kwa wagombea naomba unyamaze, maana ukristo na uislam Pombe ni haramu.
Unavuna ukichopanda, Chadema amesaliti Nchi hawastahili kuwepo
Hakuna usariti kama kuiba pesa za umma kwenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bungeUnavuna ukichopanda, Chadema amesaliti Nchi hawastahili kuwepo
Wanafikiri yeye alipenda kwenda Belgium,amerudi wanaanza kumuita beberu jeusi lkn huwa ccm wengi nawapuuza tuu wapo tuu kichwani hamna ubongo wa kung'amua mambo wapo tuu wataenda tu.Bila CCM polepole kumtuma Bashite kwenda na akina cyprian Musiba kumpiga risasi Tundu lisu asingekwenda Belgium, ushetani wa CCM ndiyo umempa umarufu Tundu lisu
Mtajua mwaka huu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Tutawafundisha adabu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Hata klop alikuwa anamawazo kama yako,lakini kilicho mkuta villa park hata hamu ana...28 oct tunajambo letu..✌✌✌✌✌💪💪💪💪Mtake mistake, mpende msipende Magufuli anachukua nchi kwa mara nyingine tena. This time kwa >95%.