Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Nduli Idd Amin leo yuko wapi? Zama zake zimefikia ukingoni.Baadae wataunga na picha za mafuriko ya Lowasa wanatuma kwenye mitandao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nduli Idd Amin leo yuko wapi? Zama zake zimefikia ukingoni.Baadae wataunga na picha za mafuriko ya Lowasa wanatuma kwenye mitandao.
Huyo jamaa ukifuatilia posts zake utagundua ni namna gani mtu anaweza kuwa mjinga.Duh we jamaa una frustration kichwani. Huwa unaandika nonsense mpka najiuliza hvi una familia? Wanakuita Baba?
1960? Like serious? Haaahaaa na mtazidi kuumia tu
Ata,ukiweka tiki kwa Lissu itahama yenyewe kwamiujiza ya Mungu.kale katiki kanahamia kwa JPM tartiiiibu kabisa.Ina maana Mimi na familia yangu tutakaompa kura Lisu ni wahutu?.acha ubaguzi dogo nchi sio ya ccm.
Ndio hizo wanalipwa Wasanii, kukatia mauno CCM , waliowalipa Wasanii ni mama, baba, Kaka na dada maskini WA Taifa hili.Kumbe vile vitambulisho havina ata jina la mtumiaji? kweli baba changa la macho wameliwa watu wengi sana
Dada mpendwa,Dodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Lisu ashakujibu Hilo swali "Hatuwezi kumwachia nyani shamba japo ananguvu usicheke na nyani utavuna mabua"Sasa mmeshiriki kwa nini?
Kwa upotolo anaandika humu hawezi kujitambilisha. Haya anafanya ilimuradi watoto waende nanihiiii.Ww jamaa tumia verified name tu au weka namba ya simu Kama Mayala.
Maana ushapita level ya buku Saba unajituma sana.
Haki huinua TAIFA
Sasa kwa hii comment ndo nmepata thinks capacity yako - zero brain aisee au wajumbe ndioHuo ni uwongo wa Chadema mwisho wenu ni October
Rais Magufuli ndio ametoa pesa zote hizo
Propesa Kabundi; wa pili kutoka mwisho, mstari wa kulia. Ana bidii ya kuimba jameni.Unajihangaisha bure tu Mkuu, utawala huu wa MABAVU hatutaki tenaView attachment 1595839View attachment 1595839
Taja rais yeyote duniani ambaye ni rangla!!
Boss wenu anachekesha Taifa kwa kiingereza cha aina yakeMuulize lissu msaliti wa Nchi
View attachment 1595924
Hizi picha makamanda huwa hazilieti kabisa humu, mambo yakiwa mgumu hukaa kimya
Kidogo kidogo tutaelewana tu
Boss wenu anachekesha Taifa kwa kiingereza cha aina yake
😂😂 Dunia yote macho kwake,unaijua dunia wewe🤔?Sasahivi dunia yote macho kwake, mtawezaje kufanya huo ujinga tena? Hamjipendi? Chagua Lissu watoto wako wawe na uhakika wa kuishi, usalama ni muhimu mno kuliko hayo "MAFLIOVER" NA MADARAJA.
Wapi hii??
Endelea kujidanganya tuView attachment 1595924
Hizi picha makamanda huwa hazilieti kabisa humu, mambo yakiwa mgumu hukaa kimya.
Kidogo kidogo tutaelewana tu