Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Tundu Lissu kiboko yao...... Mpaka sasa katembelea vijiji kibao ambavyo Hakuna rais amewahi kufanya hivo.... Bila shaka yupo humu yy au wasaidizi wake watamjulisha.....

Hatutaki tena magufuli dikteta na fisadi mkuu wa taifa na mharibifu wa uchumi wa nchi na watu
Baada ya tarehe 28/10/3/2020 ...atakuwa Tundu la chooo na siyo lisulu.
 
Meko huko aliko sukari na shinikizo la damu vimepanda kwa pamoja. Amejuuuta kumtambua mwamba was Singida (Lissu)

Atajuta zaidi tarehe 29 mwezi ujao.. atapobaini kuwa Lissu ndiye Rais wake.
 
Sengerema
Sengerema Mjini ( 334 X 640 ).jpg
 
Waliokotwa kwenye viroba kama kungekuwa na anayekuhusu usingeandika huo upuuzi. Waliobomolewa nyumba zao pamoja na kuwa mahakama ilizuia ubomoaji wangekuwa wanakuhusu usingeandika huo upuuzi. Ben Saanane, Azory au Lissu mmoja angekuwa anakuhusu usingeandika huo upuuzi. Hayo ni baadhi tu ya maovu chungu nzima ya huyo anayejiita MWENDAWAZIMU.

Kwahiyo una maanisha unamjua muuaji? Kama ushahidi upo kwanini wahusika wasishughulikiwe?

Unataka kusema mauaji yanayotokea kwenye nchi muuaji lazima awe ni rais na serikali yake?

USA wanauwawa watu zaidi ya 100 kwa risasi kila siku na watanzania wakiwemo. Kwa hiyo Trump na serikali yake ndio wauaji? Je hao watetezi wa haki za binadamu huko wameshindwa kulimaliza hilo tatizo?

Swala la watu kuuwawa limekua likitokea kwenye jamii yetu kwa sababu mbalimbali ikiwemo uchumi, sababu za kijamii, kiimani, kiutawala na siasa, na hata na hata wakati mwingine tunashindwa kupata sababu.
Kulikua na mauaji ya professor mwakusa aliuwawa na serikali? Mauaji ya Dr Mvungi je? Uthibitsho upo?

Hakuna anayefurahia mauaji, hakuna aliyefurahia Tundu kupigwa risasi pia. Wacha vyombo vya sheria vifanye kazi vije na majibu. Japo hivyo vyombo vyenyewe vinatukanwa

Tanzania ni nchi huru na yenye demokrasia, kila raia ana uhuru haki na wajibu wa kuchagua au kuchaguliwa pia ila tunahitaji hiyo demokrasia huku tukiheshimu mawazo ya kila mmoja, matusi na chuki hazitufikishi mahali watanzania kama taifa
 
Serikali ndiyo inatakiwa ihakikishe usalama wa raia na mali zao. Watanzania wanapotea, miili inaokotwa ufukweni na wengine wanauawa, kutekwa na kuteswa na hakuna uchunguzi. Huhitaji kuwa na Phd ili kujua ni nani mhusika Mkuu wa maovu hayo na kauli zake chungu nzima zinaonyesha hilo.

Rais anayewajali raia wenzake asingekaa kimya huku maiti zikiokotwa na pia kutoamuru uchunguzi kama yeye si mhusika.

Kwahiyo una maanisha unamjua muuaji? Kama ushahidi upo kwanini wahusika wasishughulikiwe?

Unataka kusema mauaji yanayotokea kwenye nchi muuaji lazima awe ni rais na serikali yake?

USA wanauwawa watu zaidi ya 100 kwa risasi kila siku na watanzania wakiwemo. Kwa hiyo Trump na serikali yake ndio wauaji? Je hao watetezi wa haki za binadamu huko wameshindwa kulimaliza hilo tatizo?

Swala la watu kuuwawa limekua likitokea kwenye jamii yetu kwa sababu mbalimbali ikiwemo uchumi, sababu za kijamii, kiimani, kiutawala na siasa, na hata na hata wakati mwingine tunashindwa kupata sababu.
Kulikua na mauaji ya professor mwakusa aliuwawa na serikali? Mauaji ya Dr Mvungi je? Uthibitsho upo?

Hakuna anayefurahia mauaji, hakuna aliyefurahia Tundu kupigwa risasi pia. Wacha vyombo vya sheria vifanye kazi vije na majibu. Japo hivyo vyombo vyenyewe vinatukanwa

Tanzania ni nchi huru na yenye demokrasia, kila raia ana uhuru haki na wajibu wa kuchagua au kuchaguliwa pia ila tunahitaji hiyo demokrasia huku tukiheshimu mawazo ya kila mmoja, matusi na chuki hazitufikishi mahali watanzania kama taifa
 
Bado sanaaa kwa magu
kamwe huwezi ukamlinganisha na Magu anayeambatana na kundi kuubwa la wasanii...hivi unajua hata Hashim Rungwe angeambatana na kundi kubwa la wasanii kwenye mikutano yake pasingetosha?!.

Kwa upande wa ccm wanachokifanya ni ulaghai tu wa kuaminisha umma kwamba mtu wao anakubalika zaidi eti ndio maana mikutano yao ina nyomi!.

Hakika TL amewashangaza sana watawala na angepewa media covarage kama ya Jiwe ndio ingekuwa balaa zaidi

CCM wanatumia nguvu kubwa mno kampeni hz ambazo haziendani na maendeleo "mpakwa mafuta" anayetajwa kuyaletea nchi ktk kipindi kifupi cha miaka 5!.
 
Serikali ndiyo inatakiwa ihakikishe usalama wa raia na mali zao. Watanzania wanapotea, miili inaokotwa ufukweni na wengine wanauawa, kutekwa na kuteswa na hakuna uchunguzi. Huhitaji kuwa na Phd ili kujua ni nani mhusika Mkuu wa maovu hayo na kauli zake chungu nzima zinaonyesha hilo.

Nimekuuliza je kila nchi mauaji yanamotokea au kupigwa risasi watu ni rais na serikali yake?
Hiyo tweetvideo nimeiona ila na nimeilewa pia na Membe ndio kashapotezwa. Ila kila mtu ana uelewa wake anyways
 
Nimekwambia mauaji husika ambayo hakuna uchunguzi kwa miaka sasa acha kujitoa ufahamu wewe!

Nimekuuliza je kila nchi mauaji yanamotokea au kupigwa risasi watu ni rais na serikali yake?
Hiyo tweetvideo nimeiona ila na nimeilewa pia na Membe ndio kashapotezwa ila kila mtu ana uelewa wake anyways
 
Back
Top Bottom