Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Yule mama wa mbege juzi.

Kibatala; wakati wanakamatwa walikua wanafanya nini?

Mama wa mbege; walikua wasajili line huku wanakunywa bia.

Kibatala; walikua wanatembea?

Mbege; hapana wamekaa.

Leo Mahita

Kibatala; wakati unawakamata ulikuta wanafanya nini?

Mahita; walikua wanakuja kwangu

Kibatala; hawakuwa wamekaa?

Mahita; sahihi kabisa
 

Huja nielewa ninacho maanisha. Bora ukae kando uwe unashuhudia tu.
Uzi v/s Case

Isitoshe ule uzi niliokuwa naupinga, wameunganisha na huu. Asanteni sana Moderator.
 
Mashahidi 24 siyo mchezo. nawaomba jamhuri hata Kama wakihamua kusitisha ushahidi basi wa jumanne na urio usikosekane.
 
Bravooooo!

 
Wewe kwani una tatizo gani?

Umelazimishwa kuingia na kusoma humu?

Yaani mtu kajitolea na kutupatia updates za kesi ya ugaidi wa Freeman Mbowe mahakamani wewe unasema "ni uzi wa kipuuzi?"

Utanisamehe sana nikisema hili juu yako, kuwa wewe ndiye una tatizo la kufikiri vizuri kwenye bongo yako...!!
 
Na baada ya kutajiwa kifungu bado anadai siyo lazima yaani ni interesting kweli
 

Siyo uzi huu. Huu hapa una authority na ndivyo JF inavyotaka. Nazungumzia ule uzi ambao ulifunguliwa bila ku cite authority yoyote. Ambao umeunganishwa na huu.
 
Pia tunaomba kina Moderator mtusaidie kudhibiti multiple threads ambazo zinaongelea issue moja. Inachosha sana maana nyakati nyingine unakuta zile threads zingine ni subsets ya uzi huu. Matokeo yake ni vurugu tu.
 
Mashahidi 24 siyo mchezo. nawaomba jamhuri hata Kama wakihamua kusitisha ushahidi basi wa jumanne na urio usikosekane.
We jumanne? hiii mnataka kuua mtu kizimbani! Frustration alizo nazo zinamtosha,
Labda Kibatala afungiwe kwanza Ana Siri ya pembe za ndovu kwenye mzinga wa nyuki kwa mzee mstaafu.
 
Hakuna shida mkuu.Tumeshajiandaa kisaikolojia !Lakini Mungu ni wetu sote
Hapa mkuu tuwaombe mawakili wa utetezi wayapitie sama maswali wanayouliza Hawa wa jamhuri. Sisi tunaweza kuona mashahidi wanapoteana lakini mashahidi wanaokuja wakaja kuwaunganosha.
 
Hii case sijui kwa nini inaendelea. Tayari mission imeshafeli. Tukio moja hilo hilo, Shahidi aliyetajwa na Mahita aliposimama kizimbani alisema alishughudia akiwa anafagia tena saa 7 mchana, lakini Mahita alimuona anapika. Yaani Leo fagio linafanana na mwiko jmn?????. Serikali iondoe kusudio la kuendelea nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…