Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yeye ni gazetted officer au sio...mbona simuelewi
 
na yawezekana Kingai akafunguliwa mashtaka ya matumizi mabaya ya fweza za serikali
 
Hivi navyo ni vituko tupu hivi huyu shahidi yani kila kitu hafahamu mbona ni mbumbu sana aiseee.... Hivi jamhuri kwanini hawa waandai mashahidi wao? hii ni aibu sana aiseee yani kila swali sifahamu, sifahamu, sifahaamu ......
 
Halafu huyo ni Afisa Msomi wa Polisi tena Inspector asiejua ABC za majukumu yake afanyayo kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…