Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Hakuna cha wadau wanaohusika hapo ndugu, hao ni polisi hawapendi mjue kinachoendelea huko ndani, ni aibu kwao.

Wamesharuhusiwa kuingia ndugu. Hakukuwa na issue ya wadau wa mahakama, ni hao polisi.
 
Uko sahihi kabisa. Hili jeshi la polisi iko shida. Kama wana ushahidi usio na shaka, hawa watu wakiingia mahakamani watabadili nini?

Hata hivyo wameshaingia. Ni aibu kwa jeshi letu la polisi.

Haya mambo hayana haja ya kutumia nguvu wala kupanic

Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake
 
Oya acheni ujinga wengi,updates zishaanza
 
Nilitegemea kwakua Polisi TZ ndio wenye ushahidi kua Mbowe ni Gaidi...

Wangependa kesi ipelekwe wazi wazi ili watanzania wajue ugaidi wa Mbowe.



Kumbe ni machoko tuu
Sahihi kabisa. Mwenye ushahidi hataki watu wausikie ushahidi wake.
 
Wawe na subra

Tunaambiwa.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Mhubiri 7: 8 - 9​

Hivi kwa hapo wenye hasira ni akina nani?
 
Kama mitandao inaingilia uhuru wa mahakama kukuletea wewe ukijue kinachoendelea, achana nayo, usiifuatilie.

Hata hivyo wameshaingia, unajisikiaje na mawazo yako?
 
Yupi huyo?? Maana waliotangulia ni wengi mwaka huu.

Rest well Maalim Seif, Balozi Kijazi, JPM, Chale Mbowe, Johara Mtei..... na wengine w
engi kwenye ukoo

Yupi huyo?? Maana waliotangulia ni wengi mwaka huu.

Rest well Maalim Seif, Balozi Kijazi, JPM, Chale Mbowe, Johara Mtei..... na wengine wengi kwenye ukoo wako unaofikiri walikua na kiburi
Mbio za sakafuni huishia ukingoni hakuna baunsa mbele ya Mungu
Kafunge wagonjwa vidonda uiteendee haki taaluma yako uuguzi ni wito teh teh teh
 
Haya mambo hayana haja ya kutumia nguvu wala kupanic

Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake

naona mmeacha kunukuu vifungu vya katiba mmeamia kwenye bibilia leo ni mwendo wa [emoji1009] tu
 
Kumbe wewe ni yule kichaa aliyekua anakimbia uchi halafu anawaita wanaotaka kumvisha nguo ni vichaa😂😂😂
Uuguzi huko wodini huwa unautumikia saa ngapi....ridhika na huo mshahara viti maalum vinahitaji Mapisi makali....
 
Hakuna cha wadau wanaohusika hapo ndugu, hao ni polisi hawapendi mjue kinachoendelea huko ndani, ni aibu kwao.

Wamesharuhusiwa kuingia ndugu. Hakukuwa na issue ya wadau wa mahakama, ni hao polisi.
Yes, uko sahihi. Mimi nimetoa mchango wa jumla na nilitaka kusema katika muktadha wa mahakama ni jaji au hakimu ndiye mwenye jukumu la kusema iwe hivi au vile na siyo polisi unless polisi wakiambiwa na jaji au hakimu kuzuia watu wasiingie. Ninaposema wadau wa mahakama nina maana ya watu wenye interest na kesi iliyo mahakamani na au na mwenendo wa mahakama. Kwa mantiki hii, waliolalamika kwa nini watu wanazuiwa kuingia mahakamani (nionavyo mimi) walikuwa ni miongoni mwa wadau wa mahakama. Je, umeelewa mantiki yangu?
 
Sasa na yy anapigwa virungu huko aliko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…