Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Uhuru wa mihimili ya dola. Kinachoendelea ndani ya mahakama ni jukumu la mahakama (kusema kiwe hivi au vile) kama vile kinachoendelea ndani ya bunge (ni jukumu la bunge kusema kiwe hivi au vile) na serikalini (kwenye idara na wizara) ni jukumu la serikali (kusema kiwe hivi au vile). Inapotokea kuna border-crossing, wadau wa mhimili husika wana'raise their voices'. Hiki ndicho kinachotokea.
Hakuna cha wadau wanaohusika hapo ndugu, hao ni polisi hawapendi mjue kinachoendelea huko ndani, ni aibu kwao.

Wamesharuhusiwa kuingia ndugu. Hakukuwa na issue ya wadau wa mahakama, ni hao polisi.
 
Uko sahihi kabisa. Hili jeshi la polisi iko shida. Kama wana ushahidi usio na shaka, hawa watu wakiingia mahakamani watabadili nini?

Hata hivyo wameshaingia. Ni aibu kwa jeshi letu la polisi.

Haya mambo hayana haja ya kutumia nguvu wala kupanic

Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake
 
200.gif

Lete mambo mkuu, tuone hao mashahidi feki wanavyokimbilia chooni baada ya kubanwa.
 
Sawa mwanaume dhaifu unayeukumbatia udhaifu wako! Mwanaume mwoga kuliko watoto zangu wadogo[emoji23]

Nimefunzwa kuwaheshimu watu na madhaifu yao ila kwako wacha tuu nikusaidie kwa kukumbusha kwakuwa MUNGU alikuumba na UUME unatakiwa kuwa MWANAUME kwa tabia zako na matendo yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanaume hata awe mdogo wa miaka15 huwa ana tabia zake za mwanaume ambazo kwako hazipo kabisaaaaa

Unaishi kinondoni sehemu gan vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oya acheni ujinga wengi,updates zishaanza
 
Nilitegemea kwakua Polisi TZ ndio wenye ushahidi kua Mbowe ni Gaidi...

Wangependa kesi ipelekwe wazi wazi ili watanzania wajue ugaidi wa Mbowe.



Kumbe ni machoko tuu
Sahihi kabisa. Mwenye ushahidi hataki watu wausikie ushahidi wake.
 
Wawe na subra

Tunaambiwa.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Mhubiri 7: 8 - 9​

Hivi kwa hapo wenye hasira ni akina nani?
 
Ila kiukweli hii mitandao ya kijamii husasani tweeter jf, na clubhouse wanaingilia sana uhuru wa mahakama.
Kila baada ya kesi kunakuwa na uchambuzi kwenye hii mitandao. Naona kabisa jaji akipata tabu kuamua hii kesi. Maana % kubwa ya watu wapo na mbowe na wenzake. Serekali hii kesi itashindwa vibaya sana.

Tunasubiri update ya kinachoendelea huko mahakamani.
Kama mitandao inaingilia uhuru wa mahakama kukuletea wewe ukijue kinachoendelea, achana nayo, usiifuatilie.

Hata hivyo wameshaingia, unajisikiaje na mawazo yako?
 
Yupi huyo?? Maana waliotangulia ni wengi mwaka huu.

Rest well Maalim Seif, Balozi Kijazi, JPM, Chale Mbowe, Johara Mtei..... na wengine w
engi kwenye ukoo

Yupi huyo?? Maana waliotangulia ni wengi mwaka huu.

Rest well Maalim Seif, Balozi Kijazi, JPM, Chale Mbowe, Johara Mtei..... na wengine wengi kwenye ukoo wako unaofikiri walikua na kiburi
Mbio za sakafuni huishia ukingoni hakuna baunsa mbele ya Mungu
Kafunge wagonjwa vidonda uiteendee haki taaluma yako uuguzi ni wito teh teh teh
 
Haya mambo hayana haja ya kutumia nguvu wala kupanic

Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake

naona mmeacha kunukuu vifungu vya katiba mmeamia kwenye bibilia leo ni mwendo wa [emoji1009] tu
 
Kumbe wewe ni yule kichaa aliyekua anakimbia uchi halafu anawaita wanaotaka kumvisha nguo ni vichaa😂😂😂
Uuguzi huko wodini huwa unautumikia saa ngapi....ridhika na huo mshahara viti maalum vinahitaji Mapisi makali....
 
Hakuna cha wadau wanaohusika hapo ndugu, hao ni polisi hawapendi mjue kinachoendelea huko ndani, ni aibu kwao.

Wamesharuhusiwa kuingia ndugu. Hakukuwa na issue ya wadau wa mahakama, ni hao polisi.
Yes, uko sahihi. Mimi nimetoa mchango wa jumla na nilitaka kusema katika muktadha wa mahakama ni jaji au hakimu ndiye mwenye jukumu la kusema iwe hivi au vile na siyo polisi unless polisi wakiambiwa na jaji au hakimu kuzuia watu wasiingie. Ninaposema wadau wa mahakama nina maana ya watu wenye interest na kesi iliyo mahakamani na au na mwenendo wa mahakama. Kwa mantiki hii, waliolalamika kwa nini watu wanazuiwa kuingia mahakamani (nionavyo mimi) walikuwa ni miongoni mwa wadau wa mahakama. Je, umeelewa mantiki yangu?
 
Kwa serikali gan ya kukaa kimya, uvute subira ????

Watu wangapi wamekua huru kwa Sauti za watu walizopiga.

Mambo mangapi yameamriwa baada ya sauti za watu kua nyingi???.




MUNGU HATENDI KAZI KAMA UNAVYOWAZA.


ndio maana kuna wakati. Aliamua wana wa Israel, waende kuwaua Maadui zao ,waue mpaka vifaranga vya kuku.


Kuna wakat, Kiongozi fulan wa Dini, wanakwaya wake walienda kuimba nyimbo sijui kituo cha polisi?....Aliyekua Rais na ambaye tunaamini mamlaka yake inatoka kwa Mungu, akasema " I wish i could be IGP "...akimaanisha kwamba ,angewapiga virungu wanakwaya hao wanaoimba habari za Yesu.
Sasa na yy anapigwa virungu huko aliko!
 
Back
Top Bottom