Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Nakushuru Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi
Haina tofauti na ushoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushuru Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi
Kama umekosa cha kuandika pls kaa kimya kuliko kupost uharo.MTAJIKOJOLEA SIKU HIYO
Mbona weweuko hapa wakati una mavi kichwaniHawana MbWinu
Wanatumia nguvu kuliko akili
Hakuna cha wadau wanaohusika hapo ndugu, hao ni polisi hawapendi mjue kinachoendelea huko ndani, ni aibu kwao.Uhuru wa mihimili ya dola. Kinachoendelea ndani ya mahakama ni jukumu la mahakama (kusema kiwe hivi au vile) kama vile kinachoendelea ndani ya bunge (ni jukumu la bunge kusema kiwe hivi au vile) na serikalini (kwenye idara na wizara) ni jukumu la serikali (kusema kiwe hivi au vile). Inapotokea kuna border-crossing, wadau wa mhimili husika wana'raise their voices'. Hiki ndicho kinachotokea.
Uko sahihi kabisa. Hili jeshi la polisi iko shida. Kama wana ushahidi usio na shaka, hawa watu wakiingia mahakamani watabadili nini?
Hata hivyo wameshaingia. Ni aibu kwa jeshi letu la polisi.
Oya acheni ujinga wengi,updates zishaanzaSawa mwanaume dhaifu unayeukumbatia udhaifu wako! Mwanaume mwoga kuliko watoto zangu wadogo[emoji23]
Nimefunzwa kuwaheshimu watu na madhaifu yao ila kwako wacha tuu nikusaidie kwa kukumbusha kwakuwa MUNGU alikuumba na UUME unatakiwa kuwa MWANAUME kwa tabia zako na matendo yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume hata awe mdogo wa miaka15 huwa ana tabia zake za mwanaume ambazo kwako hazipo kabisaaaaa
Unaishi kinondoni sehemu gan vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahihi kabisa. Mwenye ushahidi hataki watu wausikie ushahidi wake.Nilitegemea kwakua Polisi TZ ndio wenye ushahidi kua Mbowe ni Gaidi...
Wangependa kesi ipelekwe wazi wazi ili watanzania wajue ugaidi wa Mbowe.
Kumbe ni machoko tuu
Hivi kwa hapo wenye hasira ni akina nani?Wawe na subra
Tunaambiwa.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."
Mhubiri 7: 8 - 9
Kama mitandao inaingilia uhuru wa mahakama kukuletea wewe ukijue kinachoendelea, achana nayo, usiifuatilie.Ila kiukweli hii mitandao ya kijamii husasani tweeter jf, na clubhouse wanaingilia sana uhuru wa mahakama.
Kila baada ya kesi kunakuwa na uchambuzi kwenye hii mitandao. Naona kabisa jaji akipata tabu kuamua hii kesi. Maana % kubwa ya watu wapo na mbowe na wenzake. Serekali hii kesi itashindwa vibaya sana.
Tunasubiri update ya kinachoendelea huko mahakamani.
Mbona weweuko hapa wakati una mavi kichwani
Yupi huyo?? Maana waliotangulia ni wengi mwaka huu.
Rest well Maalim Seif, Balozi Kijazi, JPM, Chale Mbowe, Johara Mtei..... na wengine w
engi kwenye ukoo
Mbio za sakafuni huishia ukingoni hakuna baunsa mbele ya MunguYupi huyo?? Maana waliotangulia ni wengi mwaka huu.
Rest well Maalim Seif, Balozi Kijazi, JPM, Chale Mbowe, Johara Mtei..... na wengine wengi kwenye ukoo wako unaofikiri walikua na kiburi
Hawa ndiyo huwa wanazuia mikutano ya vyama vya siasa vya upinzani kwa sababu za "intelijensia" Hiyo intelijensia ya polisi wenye kiwango hiki cha kufikiri !!??Wametoa sababu gani za kuwazuia na wametoa sababu gani za kuwaruhusu? Polisi wanajidhalilisha kwa vitu visivyokatazwa kisheria.. YAANI FULL HISIA
Haya mambo hayana haja ya kutumia nguvu wala kupanic
Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake
Uuguzi huko wodini huwa unautumikia saa ngapi....ridhika na huo mshahara viti maalum vinahitaji Mapisi makali....Kumbe wewe ni yule kichaa aliyekua anakimbia uchi halafu anawaita wanaotaka kumvisha nguo ni vichaa😂😂😂
Sahihi kabisa. Mwenye ushahidi hataki watu wausikie ushahidi wake.
Hebu jitanabahishe, uko upande gani?Kwa hili povuuu utaugua bureeee wewe subiri mwisho wa jambo
Mbowe asije kuwa huru halafu wewe mpiga kura wake ukawa hujiwezi tena
Yes, uko sahihi. Mimi nimetoa mchango wa jumla na nilitaka kusema katika muktadha wa mahakama ni jaji au hakimu ndiye mwenye jukumu la kusema iwe hivi au vile na siyo polisi unless polisi wakiambiwa na jaji au hakimu kuzuia watu wasiingie. Ninaposema wadau wa mahakama nina maana ya watu wenye interest na kesi iliyo mahakamani na au na mwenendo wa mahakama. Kwa mantiki hii, waliolalamika kwa nini watu wanazuiwa kuingia mahakamani (nionavyo mimi) walikuwa ni miongoni mwa wadau wa mahakama. Je, umeelewa mantiki yangu?Hakuna cha wadau wanaohusika hapo ndugu, hao ni polisi hawapendi mjue kinachoendelea huko ndani, ni aibu kwao.
Wamesharuhusiwa kuingia ndugu. Hakukuwa na issue ya wadau wa mahakama, ni hao polisi.
Sasa na yy anapigwa virungu huko aliko!Kwa serikali gan ya kukaa kimya, uvute subira ????
Watu wangapi wamekua huru kwa Sauti za watu walizopiga.
Mambo mangapi yameamriwa baada ya sauti za watu kua nyingi???.
MUNGU HATENDI KAZI KAMA UNAVYOWAZA.
ndio maana kuna wakati. Aliamua wana wa Israel, waende kuwaua Maadui zao ,waue mpaka vifaranga vya kuku.
Kuna wakat, Kiongozi fulan wa Dini, wanakwaya wake walienda kuimba nyimbo sijui kituo cha polisi?....Aliyekua Rais na ambaye tunaamini mamlaka yake inatoka kwa Mungu, akasema " I wish i could be IGP "...akimaanisha kwamba ,angewapiga virungu wanakwaya hao wanaoimba habari za Yesu.