Hii imekaaje jamani? Mzee mdee na mabinti zake 18 kutetewa na mawakili wa serikali?

au ni kweli kwamba haya matapeli 19 ni NDAGU ya kuvuta pesa za wafadhili hazwa zile euro milion 900 kwamba ionekane kuna upinzani bungeni uko active baada ya wizi mkubwa wa kizembe uliofanyika 2020?

Msaada tafadhali Mr Mayala au njaa kwa lugha ya kisukuma Pascal Mayalla

Mwanasheria Mkuu wa Serikali,alisha leta Mawakili wanne wakiongozwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali Gabriel Mallata.

Baada ya Kuona Chadema imetia timu Mahakamani bila wao Kutegemea.

Wamekuja Mawakili wa Serikali Wanne tena wakiongozwa na Ayoub Sanga

Wapo 8 + Wa Mdee 3 =11
Kituko cha Kwanza
Mawakili wa Mdee na Wanasheria Serikali wa Serikali Katika Maombi yao.

Ombi la Kwanza Wanaomba Mahakama Iweke zuio "Court Injunction"Wasivuliwe Ubunge na Bunge.

Kabla ya ombi hili halija sikilizwa Leo asubuhi Spika Tulia Kashasema wataendelea na Ubunge

Jopo la Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Mdee kwa Pamoja
Wanaomba Kwanza Mahakama itoe zuio la Mdee na Mwenzake Waendelee Kuwa wabunge mpaka pale ambapo Kesi ya msingi Kesi itakapoisha.

Baada Wasilisho lao,Mahakama italazimika Kusikiliza Ombi hilo Kwanza kutoka pande zote

Amesimama wakili Peter Kibatala
anachambua kwanza Viapo vyao ambavyo vimesainiwa na Mawakili wao na Wateja (Wakina Mdee)
1.Viapo havionyeshi waapaji (Wakina Mdee) Wameapa wapi.

2.Waapaji hawajataja Dini zao katika Viapo vyote
Kibatala anaendeleaaaaaa
Wakili Kibatala anaendelea kusema
Ombi lao la kubaki na ubunge alijaelekezwa kwa yoyote kati ya wadaiwa (Mdee na wenzake)
Katika maombi yao hawasemi kama wanataka kuendelea kuwa wanachama wa Chadema ila wanataka kuendelea na ubunge tuh
 
Hizi ni mbinu za ucheleweshaji ,wanataka hawa covid 19 waendelee Bungeni mpaka mwisho wa kikao cha Bunge la budget ndio Mahakama itoe hukumu ya kuwafukuza bungeni!!
 
Haki huinua Taifa. Kama taifa halina haki halitadumu litapasuka vipande vipande. Nchi ambayo haki haipo haina haka ya kuwepo.
Naam kwa mujibu wa Katiba ya nchi, chombo chenye mamlaka ya kutoa haki ni mahakama. Tuiache mahakama iamue pasipo shinikizo. Kwa kuwa nao Wana haki ya kusikilizwa, nendeni mkashindane nao mahakamani.
 
Tz ya ubatili hamtaki kukua mbele tufanye uchumi wa kidiplomasia na kidemokrasia. Hivi EA labda letea wewe mwalimu wa hivi kitu ili twende pamoja.

 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!
Kunawakati Mungu hufanya jambo lake ili IWE MFANO...
 
Ni juz tu hapa hangaya aliwapiga bit wanaharakati wa haki za binadamu wasiseme aluta continua kwa kigezo Cha kutaka reconciliation,

Hv reconciliation kwa utaratibu huu unamaana kweli?
 
Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA...
kesi ya nyani unampa tumbili, huyu jaji mwenyewe ni ccm damu unategemea nn?
 
Mahakama kupitia Mhe. Jaji Mgeta imekubaliana na busara ya Bunge kupitia uamuzi wa Mhe. Spika kwamba waombaji (Applicants) waendelee na ubunge wao hadi Mahakama itakapotoa hukumu hapo baadaye.

Source.
Star Tv Tuongee Asubuhi.
 
Mahakama kupitia Mhe. Jaji Mgeta imekubaliana na busara ya Bunge kupitia uamuzi wa Mhe. Spika kwamba waombaji (Applicants) waendelee na ubunge wao hadi Mahakama itakapotoa hukumu hapo baadaye.

Source.
Star Tv Tuongee Asubuhi.
Kwa ni vyombo vya habari havijakumbwa na lile tatizo la ukosefu wa maadili na ukosefu wa uaminifu ,ulilolikumba taifa🤔
 
Dr. Wa sheria wa mchongo.

Taaluma yangu unaidhalilisha.
 
Source: Startv.

Nimepoteza muda wangu kusoma ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…