Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndagu zile za kudanganyia mabeberu kwamba tuna demokrasia ya wapinzani bungeni ili watoe pesa na hayo majanamke ni matapeli sugu kwa sasa hayajali kabisaHivi hao COVID 19 hawajiskii kinyaa.
Ngoja tuone
Yasije kujirudia ya akina Swila
Naam kwa mujibu wa Katiba ya nchi, chombo chenye mamlaka ya kutoa haki ni mahakama. Tuiache mahakama iamue pasipo shinikizo. Kwa kuwa nao Wana haki ya kusikilizwa, nendeni mkashindane nao mahakamani.Haki huinua Taifa. Kama taifa halina haki halitadumu litapasuka vipande vipande. Nchi ambayo haki haipo haina haka ya kuwepo.
Unasema nini ndugu? Hoja yako ni nini hapa? Ni Tundu Lissu, Freeman Mbowe au CHADEMA na katiba/kanuni zao?
Kwani wewe unayelalamika umeona ni kanuni au utaratibu gani umekiukwa na CHADEMA ktk kuchukua hatua za kusimamia nidhamu ya wanachama wao ..?
Sema halafu ndo tujadiliane. Lakini mjadala unakuwa mgumu if you're speaking out of nothing...!!
Kunawakati Mungu hufanya jambo lake ili IWE MFANO...Wataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!
Pathetic!
Panya road, jiheshimu.Michadomo leo inamponda jembe lao acheni unafiki.
kesi ya nyani unampa tumbili, huyu jaji mwenyewe ni ccm damu unategemea nn?Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA...
Kwa ni vyombo vya habari havijakumbwa na lile tatizo la ukosefu wa maadili na ukosefu wa uaminifu ,ulilolikumba taifa🤔Mahakama kupitia Mhe. Jaji Mgeta imekubaliana na busara ya Bunge kupitia uamuzi wa Mhe. Spika kwamba waombaji (Applicants) waendelee na ubunge wao hadi Mahakama itakapotoa hukumu hapo baadaye.
Source.
Star Tv Tuongee Asubuhi.