Hizo kiki za kipuuzi hazitotusahaulisha BEI ZA MAFUTA kandamizi Kwa Raia. Hakuna case hapo.
 
Uchafuzi uliyofanyika uchaguzi uliyopita utachukua muda mrefu kusafishika, hivyo tuombe uishe kwa salama.
 
Wachaaaaa! Nipo hapa nasikilizia
 
Tulikubaliana tupo awamu inayotenda haki. Tusihangaike ku-influence kwa namna iwayo yote uamuzi wa mahakama. Tuwaachie mawakili na wanasheria wafanye kazi zao.
umejaza usaha kichwani unajiita una akili bumunda wewe
 
Hela za watanzania zinachezewa sn na wajinga 19 hao na ccm na mbinu zao chafu.

Ila ipo siku watazilipa
 
Hii ni tweet ya Godbless Lema:

Mawakili wa Mdee na Wanasheria wa Serikali Katika Maombi yao, ombi la Kwanza Wanaomba Mahakama Iweke zuio "Court Injunction"Wasivuliwe Ubunge na Bunge

Kabla ya ombi hili halija sikilizwa Leo asubuhi Spika Tulia Kashasema wataendelea na Ubunge.
 
Na yeye amejuaje leo hii,kabla ya Tulia?

wakati kule Canada ni mbali na Tanzania.?
 
Siasa zetu tamu sana

baada ya karibia mwaka kuwa busy na hashtag za kupigania Mbowe kuachiwa

sasa hivi wametengenezewa agenda ya kuwaweka busy hadi mwishoni mwa 2024

Tunashukuru wabunifu wetu
 
Bunge linaheshimu mahakama, kama mahakama inavyoheshimu Bunge, yaani mtafika 2025 mmmechokaa, na bado, kazi yetu ni kuwapa matukio ya kukimbizana nayo Kila kukicha
 
Ok, naona jaji amefuata maoni ya bosi wake, Mbowe hakuna tena kwenda ikulu.

Mahakama + bunge + Serikali = Samia.
 
Hata hivyo kwa kauli ya spika kuwabakiza bungeni kwa maelekezo yapi ya mahakama? issue tunajiuliza kuna amri gani ya mahakama inayowataka waendelee kuwa bungeni spika hapa kuna shida. Leo ndio warufani ndiyo wameomba suala lao lisikilizwe na kuwa wameomba wasitolewe bungeni sasa mbona bado wamo bungeni wanaomba nini?utra vires
 
Jaji Mgeta ametoa zuio la Muda, "Status quo" Wakina Mdee Waendelee Kuwa Bungeni mpaka tarehe 13 June 2022 ambapo Nyaraka zitaletwa Mahakamani ambapo Kesi zote mbili zitaendelea Kusikilizwa, primary objection P.O) na ile kesi ya msingi.
 
Sasa Spika aliwaruhusuje kuendelea kubaki Bungeni wakati hakuwa na zuio la Mahakama?

Eti huyu ndio mwanasheria wa kiwango cha Phd na ndio anaongoza Bunge.

Hii nchi imepatwa mchana kweupe


Kwa vituko hivi, ndio mjue hapa hata kesi hamna.
 
Sasa Spika aliwaruhusuje kuendelea kubaki Bungeni wakati hakuwa na zuio la Mahakama?

Eti huyu ndio mwanasheria wa kiwango cha Phd na ndio anaongoza Bunge.

Hii nchi imepatwa mchana kweupe


Kwa vituko hivi, ndio mjue hapa hata kesi hamna.
Yeah leo wameingia bungeni kwa amri ya nani?
 
Haleluyaa aaaahh haleluyaaa haaaa,

Yaani mtanyooka tu, katiba ya Chadema hamuifuati halafu mnataka katiba mpya, mnacheza nyimbo za kichaga, hiyo kesi ichukue hata miaka kumi, sawa tu
 
Sasa mahakama Ina kazi ya kusafisha uhuni wote uliofanywa na vikao vya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…