Hiyo ni moja ya maajabu saba ya dunia.Lema Alivuliwa Ubunge Na Mahakama, Alikata Rufaa Lakini Alifukuzwa Bungeni, Spika Hakusubiri Rufaa Yake Isikilizwe, Wabunge 9 wa CUF Walifukuzwa Uanachama. Walienda Mahakamani Lakini Walitolewa Bungeni, Spika Hakusubiri Kesi Yao Isikilizwe, Je Kwa Kina Halima Sheria Imebadilika?
Waliwahi Chadema walipotoa hukumu tu akina Mdee wakawahi kupinga kuwa kuna barua zinakuja wao wameshafungua kesi mahakamani na copy wakampa spika sijawahi kabla barua official ya Chadema ya KigailaWataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!
Pathetic!
Wataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!
Pathetic!
Madawa tunayo, yamejaa hospitaliWewe Ni mlipa Kodi?. Yani unalipa Kodi ichezewe?. Kwa nini isiende kwenye madawa.
Jaji Mgeta ametoa zuio la Muda, "Status quo" Wakina Mdee Waendelee Kuwa Bungeni mpaka tarehe 13 June 2022 ambapo Nyaraka zitaletwa Mahakamani ambapo Kesi zote mbili zitaendelea Kusikilizwa, primary objection P.O) na ile kesi ya msingi.
Mahakama ilimuarifu kuwa asubiri hadi jaji atakapotia maamuzi!
Wataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!
Pathetic!
Maamuzi ya chama sio finalSheria gani?. Unaruhusuje mbunge asiye mwanachama kuendelea na Ubunge?.
Tanzania itadumu labda utaondoka wewe
Subiri upepo uvume tuone nyeti za kuku
Chadema sio final maamuzi wao sio mahakamaC
Chadema waende mahakama ya Rufaa kupinga hayo maamuzi ya jaji. Utaruhusuje watu wawe wabunge wakati sio wanachama wa chama chochote. Maana walishafukuzwa na kamati kuu.
Nenda kafanye mauaji ndio utajua mahakama ipo ukishadakwa.
Mahakama isafishe uhuni wote wa vikao vya chadema, haiwezekani usajili katiba, halafu usiifuate, mahakama ,piga hao nyamaume
Bonge moja la mahakama , hii mahakama nimeikubali, inatenda haki bila pressure
Uliwaona akina kibatala walivyokuwa wanacheza kama ndama baada ya mahakama kuwaachia huru Mbowe na wenzake, watuhumiwa wa ugaidi? Mahakama iko huru!Tanzania hatuna mahakama ni majaji wenye njaa na tamaa, wasiokuwa na mbele Wala nyuma. Wapo kwaajili ya kumfurahisha Rais.
Chadema sio final maamuzi wao sio mahakama
Mnadanganyana huko ohh mtu akifukuzwa final uongo
Uliwaona akina kibatala walivyokuwa wanacheza kama ndama baada ya mahakama kuwaachia huru Mbowe na wenzake, watuhumiwa wa ugaidi? Mahakama iko huru!
Yatajirudia tu... Ila sijui kama DPP safari hii atahusikaNgoja tuone
Yasije kujirudia ya akina Swila
Mwendesha mashtaka anatoa hoja tu, mahakama ndiyo yenye jaladaMahakama haikumuachia Mbowe, Ni Mwendesha mashtaka mkuu ndio alifuta kesi.