Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea
Lema Alivuliwa Ubunge Na Mahakama, Alikata Rufaa Lakini Alifukuzwa Bungeni, Spika Hakusubiri Rufaa Yake Isikilizwe, Wabunge 9 wa CUF Walifukuzwa Uanachama. Walienda Mahakamani Lakini Walitolewa Bungeni, Spika Hakusubiri Kesi Yao Isikilizwe, Je Kwa Kina Halima Sheria Imebadilika?
Hiyo ni moja ya maajabu saba ya dunia.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!
Waliwahi Chadema walipotoa hukumu tu akina Mdee wakawahi kupinga kuwa kuna barua zinakuja wao wameshafungua kesi mahakamani na copy wakampa spika sijawahi kabla barua official ya Chadema ya Kigaila

Ujanja kuwahi
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!

Mahakama ilimuarifu kuwa asubiri hadi jaji atakapotia maamuzi!
 
C
Jaji Mgeta ametoa zuio la Muda, "Status quo" Wakina Mdee Waendelee Kuwa Bungeni mpaka tarehe 13 June 2022 ambapo Nyaraka zitaletwa Mahakamani ambapo Kesi zote mbili zitaendelea Kusikilizwa, primary objection P.O) na ile kesi ya msingi.

Chadema waende mahakama ya Rufaa kupinga hayo maamuzi ya jaji. Utaruhusuje watu wawe wabunge wakati sio wanachama wa chama chochote. Maana walishafukuzwa na kamati kuu.
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!

Aliarifiwa na mahakama asiwatoe hadi atakapoletewa maelekezo ambayo ndiyo haya! Mwanzo tu wa mambo akina Kibatala wamegonga mkenge!
 
Sheria gani?. Unaruhusuje mbunge asiye mwanachama kuendelea na Ubunge?.
Maamuzi ya chama sio final

Chama sio mahakama !!!

Hakuna aliye juu ya sheria vikiwemo vyama vya siasa

Maamuzi yao yaweza kuwa challenged mahakamani
 
C

Chadema waende mahakama ya Rufaa kupinga hayo maamuzi ya jaji. Utaruhusuje watu wawe wabunge wakati sio wanachama wa chama chochote. Maana walishafukuzwa na kamati kuu.
Chadema sio final maamuzi wao sio mahakama

Mnadanganyana huko ohh mtu akifukuzwa final uongo
 
Nenda kafanye mauaji ndio utajua mahakama ipo ukishadakwa.

Mahakama isafishe uhuni wote wa vikao vya chadema, haiwezekani usajili katiba, halafu usiifuate, mahakama ,piga hao nyamaume

Tanzania hatuna mahakama ni majaji wenye njaa na tamaa, wasiokuwa na mbele Wala nyuma. Wapo kwaajili ya kumfurahisha Rais.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Bonge moja la mahakama , hii mahakama nimeikubali, inatenda haki bila pressure

Dhidi ya chadema ni haki. Lazima ujue chadema wanapambana na serikali, bunge na mahakama. Zote zimeungana kupambana na chadema.
 
Tanzania hatuna mahakama ni majaji wenye njaa na tamaa, wasiokuwa na mbele Wala nyuma. Wapo kwaajili ya kumfurahisha Rais.
Uliwaona akina kibatala walivyokuwa wanacheza kama ndama baada ya mahakama kuwaachia huru Mbowe na wenzake, watuhumiwa wa ugaidi? Mahakama iko huru!
 
Chadema sio final maamuzi wao sio mahakama

Mnadanganyana huko ohh mtu akifukuzwa final uongo

Basi mahakama iwe inawapa uanachama na kuwateua kuwa wabunge. Mbunge anadhaminiwa na chama na sio mahakama lakini kwa sababu tupo kwenye nchi ya kijinga tunafurahia.
 
Uliwaona akina kibatala walivyokuwa wanacheza kama ndama baada ya mahakama kuwaachia huru Mbowe na wenzake, watuhumiwa wa ugaidi? Mahakama iko huru!

Mahakama haikumuachia Mbowe, Ni Mwendesha mashtaka mkuu ndio alifuta kesi.
 
Lema katoa onyo la muhimu sana huwezi jua kama sio kuvuruga haki ya siasa huru mwaka 2020 Magu angekuwa hai, Mungu ni mkubwa msibeze hili onyo Hao akina Mdee ubunge wao ni kovu linalobaki kihistoria. Kuogopa wabunge wapya 19 wa Chadema Utovu wa katiba kwa CCM na Serikali yake. Unaserikali na machineries zote unaogopa nini ni Ujima wa kizuzu kbsa. Tenda haki uheshimike taifa linapoteza heshima, image nzuri inauliwa na upupu kbsa. We have been a nice state with adorable state machineries sasa tunawapa kuratibu nyumba vilaza wa diplomasia na demokrasia,na utawala bora hawana hata misingi ya uongozi wenye ustahimilivu na kulinda tunu zetu. Chini ya Samia Maiti ya Magufuli inafedheheka lakini hatuoni anachofanya cha utofauti kwenye katiba, siasa na demokrasia kwa ujumla. Utapataje maridhiano bila kutenda haki ya kutoa hao vibwengo pandikizi akina Mdee wanatia DOA serikali ya CCM kwa akili za utopolo kbsa.
 
Back
Top Bottom