Upepo huo unafanana na uliojazwa kuhusu corona na chanjo,kupitia henge lile la kupinga chanjo na uwepo wa corona.unafahamu Mbowe alibangaiza ktk nchi hiii hiii na akafikia kumili biashara nyingi na akawa tajiri kiasi cha kujimudu, sasa makabwela wana jazwa upepo na mwishowe wanaishia selo na maisha yao ovyo.
japo Mbowe yupo gerezani lkn familia yake haiwezi kupata tabu kwa kuwa aliweka misingi, sasa wengine vip?
tusidanganyike ...tuendelee na maisha yetu kama kawa mkono uende kinywani.
tuwachie kina Kibatala waendelee na kazi yao ya kumtetea sisi tuendelee kutafuta riziki, tusipoteze muda tukazidi kuzitesa familia zetu.
Myahenya sana kutembea Mahakamani, andaa pea za viatu tu. Nyie wenyewe CHADEMA Katiba yenu haifuatwi maana mna Mwenyekiti mmoja yangu 2002, halafu mnakuja hapa nyenyeye Katiba.... pumbavu sanaMtoto was juzi Ni wewe unayeandika propaganda mfu zisizo na kichwa Wala miguu!
Fyta mkia Kama huna hoja!
Kama wewe ni la Saba B shauri yako, hakuna namna ya kukusaidiaMkuu hapa ndo umeandika nn?? 🤣 🤣 kwa uandishi wako huu kiukweli safari ipo 🙌🙌🙌😛😛
Mpumbav ni wewe usiyetambua uhitaji wa katiba mpya,bila kujali unatoka chama gani lakini unapaswa kujua umuhimu wa katiba mpya kwa maendeleo ya taifa lake we mpuuzi!Shwain kabisa!Myahenya sana kutembea Mahakamani, andaa pea za viatu tu. Nyie wenyewe CHADEMA Katiba yenu haifuatwi maana mna Mwenyekiti mmoja yangu 2002, halafu mnakuja hapa nyenyeye Katiba.... pumbavu sana
Acha tu iwe hivyo wallah 🤣 🤣 🙌🙌Kama wewe ni la Saba B shauri yako, hakuna namna ya kukusaidia
Mtumeee! Wewe si umejitambulisha CDM kindakindaki,sasa imekuwaje tena yakhe ni mwanachama wa CCM ghafla 🤣🤣🤣 kweli mtu huwa hasahau asili yakeMyahenya sana kutembea Mahakamani, andaa pea za viatu tu. Nyie wenyewe CHADEMA Katiba yenu haifuatwi maana mna Mwenyekiti mmoja yangu 2002, halafu mnakuja hapa nyenyeye Katiba.... pumbavu sana
Jamaa huwa anajitambulishaga ni mwanachama wa CDM,sasa naona kapitiwa ghafla kajiumbuaMpumbav ni wewe usiyetambua uhitaji wa katiba mpya,bila kujali unatoka chama gani lakini unapaswa kujua umuhimu wa katiba mpya kwa maendeleo ya taifa lake we mpuuzi!Shwain kabisa!
Lissu kafa lini?ata mauaji ya lissu hakuna mwenye uhakika
Hahahaaaaaa,kimeumana!Jamaa huwa anajitambulishaga ni mwanachama wa CDM,sasa naona kapitiwa ghafla kajiumbua
Hawezi acha laana tInakuwaje Mama mliekuwa mnaandika maandiko Hapa Jf Kwamba Anaupiga Mwingi then anawabambikia Tena Kesi za Ugaidi Wakuu [emoji3][emoji3], Lahana ya Magufuli inawatafuna na itawatafuna sana Maana alivyofariki mlimuongelea Mabaya sana Wakati mkijua sio kweli. Metapigwa sana na Bado mbna
Kuna mengi hufahamu. Mengine ukielewa utaikimbia Chadema leo. Acha mahakama itatoa hukumu ya hakiThibitisha Mbowe alitaka kuua kiomgozi gani?
Maana kama ulinzi tu wa mahakama wamejaza hao polisi huyo kiongozi aliyepanga kuuliwa ni nani?
Unaweza kunitajia waliotaka kumuua Lissu yapata miaka 4 sasa hawajajulikana na kesi haizungumzwi je Lissu hakua kiongozi?
Lissu alishambuliwa katika compound ya viongozi mchana kweupe achilia mbali hizo shutuma za Mbowe za kupanga na hapajatokea kitu..
Ifike mahali CCM mjue watanzia wa miaka ya 90 sio hawa wa sasa..
Kuliko mengi ya CCM?Kuna mengi hufahamu. Mengine ukielewa utaikimbia Chadema leo. Acha mahakama itatoa hukumu ya haki
Salaam mkuu....
LOooo, sikuwahi kufahamu kwamba kuna orodha mashuhuru kama hii ilishatengenezwa tayari!
Wafuasi wa CHADEMA wapumbavu sana. Wenye akili waliondoka na Dr Wilbroad Slaa. Nyie mnasema Samia ni DIKTETA, je Mbowe ni nani? Yeye amekuwa Mwenyekiti wenu kuanzia 2002, ni Katiba gani anatumia? Acheni ujinga huo, mnakuwa IRRELEVANT kwa wananchi. Pumbavu kabisa nyinyi.Mpumbav ni wewe usiyetambua uhitaji wa katiba mpya,bila kujali unatoka chama gani lakini unapaswa kujua umuhimu wa katiba mpya kwa maendeleo ya taifa lake we mpuuzi!Shwain kabisa!
Sijawahi kuwa CHADEMA, niletee hiyo post niliyosema Mimi ni CDM au CCMMtumeee! Wewe si umejitambulisha CDM kindakindaki,sasa imekuwaje tena yakhe ni mwanachama wa CCM ghafla 🤣🤣🤣 kweli mtu huwa hasahau asili yake
Wewe ni mgeni hapa JF. Sisi wengine tuna misimamo SEM umeanza kutujuwa Leo. Hatuwezi kuunga mkono UPUMBAVU wenu.