unafahamu Mbowe alibangaiza ktk nchi hiii hiii na akafikia kumili biashara nyingi na akawa tajiri kiasi cha kujimudu, sasa makabwela wana jazwa upepo na mwishowe wanaishia selo na maisha yao ovyo.
japo Mbowe yupo gerezani lkn familia yake haiwezi kupata tabu kwa kuwa aliweka misingi, sasa wengine vip?
tusidanganyike ...tuendelee na maisha yetu kama kawa mkono uende kinywani.
tuwachie kina Kibatala waendelee na kazi yao ya kumtetea sisi tuendelee kutafuta riziki, tusipoteze muda tukazidi kuzitesa familia zetu.