Mbowe ni kada wa CCM kama alivyokuwa Marehemu maalim Seif - mikiki mikiki wanayo pitia ni kati ya viapo vyao kwa kazi zao wanazozifanya ili taifa letu lionekane harakati za demokrasia zina endelea na amani inatamalaki!
Ila wafuasi wao hawaabiwi! Mwangalie mzee Mrema kama unabisha. Mbowe ni mpango mzima wa CCM. Wewe danganyika ufate usicho kijua, utalemaa!
Ila wafuasi wao hawaabiwi! Mwangalie mzee Mrema kama unabisha. Mbowe ni mpango mzima wa CCM. Wewe danganyika ufate usicho kijua, utalemaa!
Mbowe ni gunia la misumari, kila anayejitwisha lazima atahangaika na kulitua haraka!
Mr Freeman Aikael Mbowe: BWANA akubarikie, na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani; katika jina la Mungu Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu, Amina.
Mbowe uwe na siku njema yenye baraka!