Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

mtakanyagwa na hakuna kitu mtafanya.
 
Power is not permanent
Mwenye kusoma na aelewe
 
Sheria gani iliyovunjwa?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
mkumbusheni ma
mkumbusheni maushungi kuwa hata meko alikuwa anafurahia hivi hivi ila sasa hivi yuko wapi?

mama ana miak 60.. badala ya kutengeneza nchi yenye katiba imara kwa ajili ya wajuu wake .. yeye anadanganyika na madaraka mafupi..
 
Hivi askari wote hao ni kwa sababu wanahofia wakina mama watakuja na makaratasi yaliyoandikwa " Mbowe sio gaidi"? Juhudi zote hizo kuzuia watu kutoa mawazo yao kwa njia ya amani? Inasikitisha sana.

Amandla...
 
Yakubambikiwa, tena ugaidi kisa mnaogopa dai pendwa la Wantanzania Katiba mpya.
Inakuwaje Mama mliekuwa mnaandika maandiko Hapa Jf Kwamba Anaupiga Mwingi then anawabambikia Tena Kesi za Ugaidi Wakuu [emoji3][emoji3], Lahana ya Magufuli inawatafuna na itawatafuna sana Maana alivyofariki mlimuongelea Mabaya sana Wakati mkijua sio kweli. Metapigwa sana na Bado mbna
 
CCM WANGELETA JESHI LA ULINZI KABISA KUMLINDA MWANAMAPINDUZI
 
Kwa akili zako unadhani watoto na familia zao zinasikia raha sana wanapoona ndugu yao amelala mahabusu? Unajua kuna wakina mama walipoteza maisha yao wakati wanao wako mahabusu au jela? Unadhani hao kuku wanakuwa na ladha yeyote ukijua umpendae yuko mahabusu na haujui hatima yao? Hao unaotaka washike mabango wanateseka kuliko unavyoweza kufikiria.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…