Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Maria Nyerere alilala lini mahabusu? Sofia Kawawa alilala lini mahabusu? Umewahi kusikia habari zozote za wake wa wakina Sykes, Dennis Pombeah n.k. ? Kwa sababu hiyo utasema hawakuwa na mchango katika juhudi za waume wao za kudai uhuru wa Tanganyika?

Amandla...
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Acha ujinga na ubinafsi wewe, pigania nchi yako acha kupigania tumbo lako. Watu kama nyie mnatupa taabu sana kwenye hii nchi
 
Unabaki kujiuliza tu why!?kwanini lakini kumtendea haya mtu asiye na hatia? Kwani kuna mtu ataishi milele? Yuko wapi kayafa leo hii? Why? Kwanini lakini? Whyy[emoji374][emoji19][emoji374][emoji19][emoji374][emoji19]
 
Natamani sana viongozi wetu wangekuwa wamesikiliza The Story Book ya Wasafi TV Leo asubuh wakati anamzungumzia Sadam Hussein. Naamini wasingefanya haya wanayoyafanya leo
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.

Sisi wote tunaohangaika na cdm tuna uhakika wa kula vizuri na watoto wetu kusoma. Ndio maana hujawahi kutuona tukija kuomba msaada wowote kwa wanaccm.
 
Nipo pamoja na wewe
 
Amen [emoji1752][emoji1752][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Pangia mama yako usipangie wengine nn cha kufanya na maisha yao-kama watu wameamua kuandamana ni haki yao,That's all.
 
Gaidi huyu mbn Hana kanzu wala barakashia?! Mkristo anaweza kua gaidi kweli?!! maana waislamu sie ndio tumekua tukihusishwa na ugaid miaka nenda Rudi.
 
Ghaidi Mbowe Ni gunia la kinyesi,kila anayelikumbatia atachafuka mapema sana

Subirini muone
 
Molemo, habari yako inaingilia uhuru wa mahakama pia

Tazama habari yako hya kiushabiki

1. "....Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro bila aibu aliitisha Mkutano wa wanahabari bila kujali anaingilia Uhuru wa Mahakama alimshambulia Freeman Mbowe na kumhukumu kwa kesi hii ya kubambikwa. Simon Sirro alienda mbali na kutumia mpaka udini kuhalalisha madai yake ya uongo dhidi ya Mbowe...."
2. "...Dunia imesimama na wapigania haki Tanzania na tayari mpaka Jana nchi kadhaa duniani zimetoa matamko ya kufuatilia kesi hii kwa ukaribu ikiwemo Marekani, Canada, Uswiss, Uingereza, European Eunion na Umoja wa Mataifa (UN)...."
3. "....Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya..."

Vipengelevitatu tajwa hapo juu tayari umeshaingilia mahakama ambayo ndio yenye jukumu la kutafsiri kesi iliyo mbele yake sio wewe na mihemko ya kisiasa.
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Sasa nimemuelewa Rais aliposema vijana ni wepesi kutetea kwa mtandao.Hongera sana ila tu ni kwamba yana mwisho haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…