Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Acha ujinga na ubinafsi wewe, pigania nchi yako acha kupigania tumbo lako. Watu kama nyie mnatupa taabu sana kwenye hii nchihaFamilia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako