Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Acha ujinga na ubinafsi wewe, pigania nchi yako acha kupigania tumbo lako. Watu kama nyie mnatupa taabu sana kwenye hii nchiha
jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako
 
Mwamba katepeta, ajikaze ndiyo maisha.
jambo la msingi azidi kumuomba Mungu maana kama ni matatizo ndo tayari yamemfika
kesi ya ugaidi is serious offense. all the best.
 
Mwamba katepeta, ajikaze ndiyo maisha.
jambo la msingi azidi kumuomba Mungu maana kama ni matatizo ndo tayari yamemfika.
case ya Ugaidi is a serious offence
wenzake wameamua kama mbwai na iwe mbwai, walibana wee wakaamua kuachia.
 
Mtapata sana taabu. Tutachanga hadi kuku kuhakikisha haki inapatikana.
Haki na Wajibu ni vitu vinavyokwenda sanjari.
Haki haipatikani bila kutimiza Wajibu... kutii mamlaka zilizowekwa kisheria na kikatiba ni wajibu wa msingi wa kuzingatiwa.
Kinyume chake ni uhuni, uhalifu na uvunjifu wa sheria unaoweza kuhararisha amani na utulivu.
 
Hii kesi itaenda, then itafutwa...
jidanganye, hii ngoma nzito sana.
Jamuhuri imeamua, haifanyi majaribio.tusubiri yatakayo jiri mahakamani
Dunia itashuhudia kuwa Mbowe hakubambikiwa wala hakuonewa, uovu wote utawekwa hadharani.
naamini Jamuhuri imejipanga vilivyo.
 
jidanganye, hii ngoma nzito sana.
Jamuhuri imeamua, haifanyi majaribio.tusubiri yatakayo jiri mahakamani
Dunia itashuhudia kuwa Mbowe hakubambikiwa wala hakuonewa, uovu wote utawekwa hadharani.
naamini Jamuhuri imejipanga vilivyo.
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Kama hujui ww ndiye unasababisha!
Hata ukijiongeza uwe kama mbuyu haisaidii kuna ukuta mbele yako!
 
Kwako ni upuuzi,basi waachie wanaojua wanachokifanya,endelea kubangaiza na familia yako Bila kujua kwanini unabangaiza.
unafahamu Mbowe alibangaiza ktk nchi hiii hiii na akafikia kumili biashara nyingi na akawa tajiri kiasi cha kujimudu, sasa makabwela wana jazwa upepo na mwishowe wanaishia selo na maisha yao ovyo.

japo Mbowe yupo gerezani lkn familia yake haiwezi kupata tabu kwa kuwa aliweka misingi, sasa wengine vip?

tusidanganyike ...tuendelee na maisha yetu kama kawa mkono uende kinywani.

tuwachie kina Kibatala waendelee na kazi yao ya kumtetea sisi tuendelee kutafuta riziki, tusipoteze muda tukazidi kuzitesa familia zetu.
 
Mbona huu upuuzi unarudia rudia kupost? Unachoandika ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu.

Wenye akili hufikiria zaidi ya ugali wa kila siku. Waache wenye akili, hekima, utu, uzalendo wapiganie haki mama ya Taifa letu ili siku moja tuweze kuongozwa na watu wenye uwezo wa kuongoza kwa kuzingatia mwongozo mkuu, ambao ni katiba.
Mnawapeleka vijana wa watu majobless na mabango Kisutu wakapigwe na kuwekwa ndani wakati familia za akina Maria Sarungi, Fatma, Mbowe na Lissu zinakula kwa ulaini.

Acheni UFALA, hatujawatuma kudai katiba sisi
 
Mkuu wamezoea vya kuchinja,wanataka 2025 waharibu tena uchaguzi kama yule jamaa yao alielala, hawataki kujifunza katiba hii ndio inawapa nguvu ya kufanya hujuma wakisaidiwa na yale makundi yao pendwa usalama wa Taifa na polisi hatuitakiiii.....
Hawa tunakomaa nao. Wigo upanuliwe panapo majaliwa hata ki digitally.
 
Hawajamuamrisha. Wao walikuwa wanafanya kile ambacho katiba na sheria ya vyama vya siasa zinaruhusu isipokuwa serikali haitaki. Kwahiyo mchokozi hapo ni serikali
RC wa Mwanza kakataza makusanyiko kwa mujibu wa nafasi yake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ukinzi na Usalama mkoani. Mwenyekiti wa BAVICHA Mwanza akaendelea kupanga mkutano.

Huyu Sultani wenu naye akaamua kuacha msiba wa kaka yake Machame ili akatunishiane misuli na vyombo vya dola. Amepata alichokuwa anataka. Daaaaaddadekiiiiii
 
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.

Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao
Mwangosi at work
 
Kumbe mnajua mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya kubumbuka kutokana na hiki ulichoandika hapa!
Mashtaka ya Mbowe hayawezi kuwa ya kubumba. Historia ya Mbowe ni chafu kuanzia miaka ya 1980s. Mbowe hakuna biashara chafu ambayo hajawahi kufanya including drug trafficking.

Ila ujuwe kama unaishi nyumba ya vioo usitupe mawe nje watakurudishia na wewe.
 
Hii kesi ya sasa ya mbowe inahusiana vipi na Lowassa kumpa Mbowe pesa kuhamia CDM? Prove it otherwise tunarudi palepale-Tuhuma ulizoleta ni bogus
Mbowe ni mchafu na Serikali ina deals zake zote, ni suala tu la ipi tuiweke mezani. Nyie watoto wadogo hamuwezi kujua ndiyo maana mnamuona kama shujaa wa kudai Katiba Mpya.

Endeleni kutumika lakini iko siku mtashangaa mtakapogundua kuwa Mbowe ni Mjasiriamali wa Kisiasa.
 
Haki na Wajibu ni vitu vinavyokwenda sanjari.
Haki haipatikani bila kutimiza Wajibu... kutii mamlaka zilizowekwa kisheria na kikatiba ni wajibu wa msingi wa kuzingatiwa.
Kinyume chake ni uhuni, uhalifu na uvunjifu wa sheria unaoweza kuhararisha amani na utulivu.

Sheria ipi inatumika kuzuia watu kwenda mahakamani?

Sheria ipi inatumika kuzuia majumuiko.ya watu la Mwanza likiwamo?

Sheria ipi inatumika kuzuia majumuiko ya vyama vya upinzani lakini si majumuiko CCM, mbio za mwenge, makanisa, mihadhata ya dini nk?
 
Back
Top Bottom