Hapa ndo CCM mnaonekana hamnazo kabsa? Huu ujinga ungeenda kuusema hasa kwa wajinga wenzenu ili waendelee kua wajinga sio kuleta hapa jamii forum kwa watu welewa,View attachment 1604230
Maendeleo ya vitu sio kabisa makamanda. Maendeleo ya watu ndio kila kitu.
Toka jana chopa tatu zinaruka kukamilisha hii lala salama nyie lile gari la mkaa hoi.Anahusiana vipi na Chadema? Mbowe amekula michango mpaka Lissu anahangaika kufanya kampeni.
Hapa kuna uzima kweliKamanda acha matusi hayasaidii,Lissu anavyuma mwilini mwili una muuma sana.
Kabla sijaweka hoja zangu hapa.Maendeleo ya watu-Uwekezaji kwa rasilimali watu (mfano bima ya afya kupitia SWF ya gesi). Maana haina maana ya kuwekeza zaidi ya trillion 6 kwenye mradi ilihali vijana wanalia hawana mitaji ya biashara au wakulima wanalia hawana masoko au pesa za kuwekeza kilimo cha umwagiliaji.
Haki- Utawala wa sheria na siku 100 za kwanza anaanza na kuleta katiba mpya. Ataanzisha taxpayer bill of rights ili kuguarantee haki za mjasiriliamali kwenye masuala ya kodi na mifumo inayohusika.
Uhuru- Kuleta soko huria haswaa ambalo serikali haiingilii utendaji kazi wake ila inakua regulator tu. Vyombo vya habari kutoingiliwa uhuru. Wafanyabiashara kufanya kwa uhuri bila hofu ya TRA kuwalimbikizia makodi makubwa.
Karibu tujadili mapungufu au faida ya hizi sera zake.
Umeandika Ugoro kabisa, siasa haipo kama unavyowaza wewe, siasa sio kama mipango yako ya kununua nguo ya ndani.Wewe hupo humu unafurahi ila Hesabu ya kipindi hiki imekuwa ngumu sana, ufaulu si mwepesi kama ilivyotegemewa, kuna hesabu haikudhaniwa wala kufikiriwa kabisa kuwa ipo kipindi hichi ila taarifa zimeshawafikia wanaosolve hesabu kuwa hiyo hesabu inatakiwa ijibiwe tena haraka. Saa hizi wanajitahidi kuangalia namna ya kuikwepa hesabu ila bado njia haijapatikana, wewe upo humu unasubiri kusikia tu matokeo uendelee kushangilia. Jiandae kwa lolote, walinzi wako wameshaanza kujiandaa. Ila matumaini bado yapo.
We jiongeleshe unavyopenda ila Mm siwazi tu, nipo najionea yanayoendelea. Halafu ww inaonekana ni kada mpya, kuna kada wazoefu wachache sana wanao opt kutumia lugha uliyotumia.Umeandika Ugoro kabisa, siasa haipo kama unavyowaza wewe, siasa sio kama mipango yako ya kununua nguo ya ndani.
Sikiliza bwana mdogo, maana ya neno inategemeana na context kuna nchi ukisema uhuru una maana kufunguliwa kwenye lockdown au kuruhusiwa ndoa ya jinsia moja kwa hiyo hakuna universal definition ya uhuru au maendeleo.Kabla sijaweka hoja zangu hapa.
Ukipewa nafasi ya kuelezea maana ya maendeleo kwa mistari miwili utaweza?
Ukipewa nafasi ya kuelezea maana ya haki utaweza?
Ukipewa nafasi ya kuelezea maana ya uhuru utaweza?
Mzalendo uchwara?. ......kuwa mzalendo.....acha hasira
Tundu Lissu anakusanya kura zote kila kona.Hahaha safi Sana ..hawa wamasai waombe mizimu ya kwao lissu ashinde .akishinda jiwe watafukuzwa wote katika ardhi yao wataambiwa kuwa waaishi ktk ardhi yenye hifadhi ya tiafa 😂 😂 ..jiwe kwa visasi tena
Endelea kujionea hivyo hivyo, utakapoacha kujionea ndio siku ambayo Dkt.JPM atakuwa anaapishwa.We jiongeleshe unavyopenda ila Mm siwazi tu, nipo najionea yanayoendelea. Halafu ww inaonekana ni kada mpya, kuna kada wazoefu wachache sana wanao opt kutumia lugha uliyotumia.
Aunt Li atapata kura za mashoga wenzake ila sio mimi aisee. Nakushauri na wewe epuka kuleta zahma za Sodoma na Gomora hapa Tanzania. Chagua CCM Chagua MagufuliSikiliza bwana mdogo, maana ya neno inategemeana na context kuna nchi ukisema uhuru una maana kufunguliwa kwenye lockdown au kuruhusiwa ndoa ya jinsia moja kwa hiyo hakuna universal definition ya uhuru au maendeleo.
Sasa usianze kulazimisha maendeleo ni kma definition ya Lumumba kuwa ni SGR na miundombinu!! Mie nmejibu kwa context ya Lissu sasa kazi kwako kuonyesha udhaifu wa hiyo sera.
Ukishindwa basi tarehe 28 kura yako itupie kwa Lissu na utakua umefungua ukurasa mpya wa mabadiliko.
Aliyekuambia kuwa haiwezekani kuapishwa ni nani? Nimekuambia hali ni tete si kama unavyoirahisisha wewe hapa jukwaani. Focus.Endelea kujionea hivyo hivyo, utakapoacha kujionea ndio siku ambayo Dkt.JPM atakuwa anaapishwa.
Ngoja upgwe tu huna kazi na mifisi zenu hizo hatutaki hujuma hapaWakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya, Chakushangaza baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu chadema watadai wameibiwa kura.
Mimi sio muhasibu wa cdm, hilo la kuliwa hela mnalijua huko ccm,ww unayejua Mbowe Kala hela ni jukumu lako kupiga kelele. Ninachoamini mimi ni kuwa kiongozi mzuri mwisho ni miaka 10 kwenye nafasi moja, akizidi hapo ni uhuni mtupu. Lisu anangaika kufanya kampeni! Kwani kampeni ni nini kama sio kuhangaika? Utapigania mabasha vibaya sana hapa jukwaani lakini hutapata.
Labda akaapishiwe chumbani kwa mumeoEndelea kujionea hivyo hivyo, utakapoacha kujionea ndio siku ambayo Dkt.JPM atakuwa anaapishwa.
kwan mbowe yupo kwenye huo wadhifa kwa mda gan? miaka haifiki 20?
Pitia post zangu kama kuna mahali popote naunga mkono Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka 10. Hasa uchaguzi huu wa juzi, na nilianzisha uzi kabisa kukataa huo uhuni.