Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Anahusiana vipi na Chadema? Mbowe amekula michango mpaka Lissu anahangaika kufanya kampeni.Hayakuhusu mfurusheni meko Kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahusiana vipi na Chadema? Mbowe amekula michango mpaka Lissu anahangaika kufanya kampeni.Hayakuhusu mfurusheni meko Kwanza.
angekuwa anahangaika sidhani kama angekuwa kapiga kampeni sehem zote alizotembelea.....kama huna hoja funga domo au cheki cartoon maybe ndio saiz yako na wana lumumba wenzakoAnahusiana vipi na Chadema? Mbowe amekula michango mpaka Lissu anahangaika kufanya kampeni.
We hujui tu anavyochoka na miguu inamuuma,alitakiwa awe na chopa.angekuwa anahangaika sidhani kama angekuwa kapiga kampeni sehem zote alizotembelea.....kama huna hoja funga domo au cheki cartoon maybe ndio saiz yako na wana lumumba wenzako
yule ni kamanda ,so hawezi choka kama udhaniavyo nduguWe hujui tu anavyochoka na miguu inamuuma,alitakiwa awe na chopa.
Anafanya utalii wa ndani tu,kushinda ni ngumu. Kamamda tukiteneneze upya chama chetu. Tumfurushe Mbowe.
Weka huu uzi kuhusu hii agenda, ni muda muafaka.
We kahaba mpuuzi achana na mimi,sifanyi mambo kwa kukariri.
Sio muda muafaka, bali kwa sasa Mbowe ni mwenyekiti wa cdm kimakosa, ils ajenda yetu kuu kwa sasa ni kummwaga kwanza Magufuli. Baada ya uchaguzi regdless matokeo, hilo la uongozi wa cdm tutalifanyia kazi. Kwa sasa wa nenda TBC1 ukasikilize TPSF wakimfanyia kampeni mfu ibilisi wa nchi hii.
hahahahaahaha laaaa mungu......aniinge?!....Kuanzia Nangwa Dareda Kati Dareda mission Bashineti Madunga njia panda, Dongobesh, Vitunguu swaum, Maskaroda, watu wamejipanga barabarani Ni Nyomi hataree Imboru na Karatu watu wamekesha...akoo na Balisee ideroooo
Nasi roaleee
Katutoa ngama huo, na sijui? tarehe 28/10 anaweza akatuvuruga.
Mi husema uhalisia sio mlevi. Michango vipi tuma ina hitajika sana .
Sawa pole sana, lkn kameni si zinafanyika? Kama alikula michango ndio uje kutoa mapovu yako huku mitandaoni?Anahusiana vipi na Chadema? Mbowe amekula michango mpaka Lissu anahangaika kufanya kampeni.
Mbowe ni mwenyekiti kimakosa,bwege wewe,alitafuna michango na ruzuku mbona hukusema? Leo Lissu anahangaika kufanya kampeni.Sio muda muafaka, bali kwa sasa Mbowe ni mwenyekiti wa cdm kimakosa, ils ajenda yetu kuu kwa sasa ni kummwaga kwanza Magufuli. Baada ya uchaguzi regdless matokeo, hilo la uongozi wa cdm tutalifanyia kazi. Kwa sasa wa nenda TBC1 ukasikilize TPSF wakimfanyia kampeni mfu ibilisi wa nchi hii.
Hili phaller jingine la buku 7 lipo kaziniAnafanya utalii wa ndani tu,kushinda ni ngumu. Kamamda tukiteneneze upya chama chetu. Tumfurushe Mbowe.
Huoni kutokana na maarifa ya hovyo uliyorithishwa na akina Mr. Polepole na Badhiru wa CCMTundu lisu hawez kuongoza Tanzania
....
Labda aende ubelgiji
Magufuli = mitano tena
ukishindwa hoja ondoka , usituharibie uzi , wadau waishakustukiaHizo hasira za kamanda ambae....... Lissu anahitaji msaada.