Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Mbona unatesekaa?
Mgombea wa Lumumba anaratiba ?
Kamwambieni Leo tunamtandika kwake hadi aibu
Nasikia shangazi zake wameomba kuhudhuria mkutano
Sawa afisa habari wa Chadema a.k.a malalamiko political party.
 
Oyaa oyaaaa asubuhi na mapema [emoji3577][emoji3577]
 
Kampeni za Lissu zinafanyika kwa kificho sana kama shughuli za ukeketaji, no live coverage, picha lazima zipite maabara
 
Huyo huyo hata avae pama zote zinarudi kuitwa kofia hayo majina mengine ya kibiashara mbwembwe tu ndio ujione ulivyokuwa poyoyo mataga
Chadema punguzeni stress.mbona huu mchezo hauitaji hasira.Kama ni mchezo wa draft CCM maka sasa ishapata kete mbili za king.
 
Tumeisha kuwamua ni Magufuli 💯
kutatokea watalii.. kuangalia.. anaonekanaje tu..
 
Eti anapewa Asilimia kubwa kuwa Rais! Mkuu pamoja na kisomo chako na uelewa wako unaweza kuzungumza upotolo kama huu?
Hata kama una huba na mahaba uwe serious kidogo basi.
Wewe kama huamini kuwa anaenda kuwa Rais wa inchi pole sana wakubwa zako wa chama wanaelewa hivyo ndio maana wanahaha sana
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…