Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Lissu atapata mahudhurio hafifu kama yale ya Mbagala au madogo zaidi
 
Chato haijawahi kuwa ngome ya CCM miaka nenda rudi, alaf utambue kuwa chato ni ngome ya Chadema angalia kata zinanyakuliwa na chama gani?
Kwa chato sitashangaa Lisu kupata mapokezi makubwa
Ndio sababu ya magufuli kulazimisha ubunge enzi zake akiwa mbunge ?
 
Mkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
Lowassa alishinda..hakutangazwa ila sasa Lissu mkimfanyia hivyo ana nongwa..ndio Maana Magu akiwa Singida alijichekesha nitampa kakazi kadogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…