Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Lissu akammalizie pale pale kijijini kwao Mhutu yule
 
Eti "anasuasua"yani nimecheka kwa nguvu mpaka wamenishangaa.akya mama loketo na watu wake wanakazi sana mwaka huu.
 
Lissu hatakuwa chato leo, muwe mnajipa muda wa kutafiti kabla ya kupost
Na wewe uwe unajipa muda wa kusoma mada na kuielewa kabla ya kuchangia. Mtoa post kaanza na neno "Huenda" maana yake hakuwa na uhakika.
 
Labda itakuwa sare Kwa Sare, maana pale singida Napo Magufuli alimdhihirishia Lisu kwamba, anachukiwa Hadi na wanyumbani mwake

 
Labda itakuwa sare Kwa Sare, maana pale singida Napo Magufuli alimdhihirishia Lisu kwamba, anachukiwa Hadi na wanyumbani mwake
Magufuli ulienda singida lakini hakufanya mkutano wilaya ya ikungi anakotoka mheshimiwa aliishia kusimama na kusema kuwa "atampa kazi tundu" watu wake wamuambie aache kugombea
 
Kampeni za Lissu zinafanyika kwa kificho sana kama shughuli za ukeketaji, no live coverage, picha lazima zipite maabara
U
Kampeni za Lissu zinafanyika kwa kificho sana kama shughulFFfffi za ukeketaji, no live coverage, picha lazima zipite maabara
We subiri tukomboe wana wa nchi hii wapate uhuru, wapate haki, wapate maendeleo, vyombo vya habari viwe huru, hayo maneno itakosa pakuyasemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…