Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Hasira zake sio za kawaida
JamiiForums-1839791467.jpg
 
Ukifuatilia vizuri utagundua miradi yote ya chatto ni kwa ajili ya sababu zake binafsi hazilengi wanachato ambao ni makapuku wa kutupwa.
Ukiwauliza Wanachato sidhani kama walihitaji Airport watajibuje?Je,hawana mahitaji mengine?Kama Rais alikuwa na uhitaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa alitakiwa kuuboresha wa Mwanza.
 
Ukiwauliza Wanachato sidhani kama walihitaji Airport watajibuje?Je,hawana mahitaji mengine?Kama Rais alikuwa na uhitaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa alitakiwa kuuboresha wa Mwanza.
Mwanza na Geita wapi na wapi kama hujui kaa kimya!
 
Huyu Lisu tunamsubiri ataenda kuombaje kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla
 
Ofisi za CRDB pamoja na kuwa hakuna wateja wafanyakazi wanacheza karata tu au kupiga usingizi, hospitali kubwa ya rufaa, stadium inakuja inadaiwa itagharimu $400 millions

bwana yule kajenga wapi???
trafiki light
Bank
bandari
bugiri National Park
airport
Mahakama ya Wilaya ya hatari
Jengo la Tanesco
Stadium
niendeleeeee..........................
 
Kifungu gani hicho cha Katiba yetu pendwa?Tukitaka kuibadilisha tunawatumia Watanzania au Malaika?Ule mchakato wa Katiba Mpya ulikwama kwa sababu zipi?
Mchakato ulikwama kwa sababu hiyo na nyingine kupunguza mamlaka ya u teuzi kuondoa kinga ya kushitakiwa akifanya makosa nk tutachelewa kujikwamua tulipo

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Ukiwauliza Wanachato sidhani kama walihitaji Airport watajibuje?Je,hawana mahitaji mengine?Kama Rais alikuwa na uhitaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa alitakiwa kuuboresha wa Mwanza.
Subiri Lissu aende huko tutasikia tu
 
Yan huyu jamaa asimame pahala asimtaje magufuli!!!! Piga campen bwn, ww ukiwa rais huto jenga kwenu??? Haoo inaonesha dhahiri unamuhaha mh JPM.
 
Back
Top Bottom