Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Hasira zake sio za kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekuambia eeh?!huku chato watu wanasema Magufuli kwao ni BURUNDI.
Ukiwauliza Wanachato sidhani kama walihitaji Airport watajibuje?Je,hawana mahitaji mengine?Kama Rais alikuwa na uhitaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa alitakiwa kuuboresha wa Mwanza.Ukifuatilia vizuri utagundua miradi yote ya chatto ni kwa ajili ya sababu zake binafsi hazilengi wanachato ambao ni makapuku wa kutupwa.
Mwanza na Geita wapi na wapi kama hujui kaa kimya!Ukiwauliza Wanachato sidhani kama walihitaji Airport watajibuje?Je,hawana mahitaji mengine?Kama Rais alikuwa na uhitaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa alitakiwa kuuboresha wa Mwanza.
Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha...
bwana yule kajenga wapi???
trafiki light
Bank
bandari
bugiri National Park
airport
Mahakama ya Wilaya ya hatari
Jengo la Tanesco
Stadium
niendeleeeee..........................
Mchakato ulikwama kwa sababu hiyo na nyingine kupunguza mamlaka ya u teuzi kuondoa kinga ya kushitakiwa akifanya makosa nk tutachelewa kujikwamua tulipoKifungu gani hicho cha Katiba yetu pendwa?Tukitaka kuibadilisha tunawatumia Watanzania au Malaika?Ule mchakato wa Katiba Mpya ulikwama kwa sababu zipi?
Na wewe umeng'ang'ani mnamsubiri mnamsubiri, atakuja na kura atapata za kutosha tu na cha kumfanya hamna mtaishia kubweka bweka tu wenye akili timamu wanangoja kumfyekelea mbali meko tarehe 28/10/2020Huyu Lisu tunamsubiri ataenda kuombaje kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla
Ukiletewa utasema ni photoshop vumilia hivyo hivyoMbona wananchi hatuwaoni?!
Ndio maana yake eti mtu hawezi kujenga chato ambako anajua hakuna faida ya kitaifa. Lazima anajua atafaidi mileleUwanja wa Ndege wa Chato ni Ishara ya Kutaka kututawala Milele.
viva lissu
Chato ataenda na Nyundo hizohizo na wananchi watamkubali tuHuyu Lisu tunamsubiri ataenda kuombaje kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla
Subiri Lissu aende huko tutasikia tuUkiwauliza Wanachato sidhani kama walihitaji Airport watajibuje?Je,hawana mahitaji mengine?Kama Rais alikuwa na uhitaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa alitakiwa kuuboresha wa Mwanza.
ILA YEYE KUPATA UBUNGE NA KUWATEREKEZA WANASINGIDA NA KULA BATA KULE ARUSHA MJINII, HUU NI USHUJAA
Huyu jamaa anachanja mbuga aisee. Mwenzake leo kaamua kufanya telecom rally
IMEKUKOLEA HIYO VIZURI, NAONA ADI UMETOA MLIO.Inaelekea hujui unachoandika!!!