Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Kipindi cha Dr Slaha ilikuwa heshima sana kushabikia CHADEMA, na ilikuwa aibu kuizungumzia CCM. Sasa hivi ni aibu sana mara 1000 kuishabikia CHADEMA. CHADEMA wamekuwa wanaharakati, sio chama cha siasa. Kipindi kile ilikuwa raha kusikiliza sera zao, lkn leo sera ni matusi, kashifa, kejeri, vurugu, nk. Kimsingi Lissu ameharibu chama. Wapenda amani hawawezi kukipigia kura CHADEMA. Najua mtapinga lakini ndo ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.
 
Hii stendi ya Igumbiro iliyojengwa na Asas wa CCM?!
 
Yule mwiningine yuko Chattle anatafakari alikosea wapi!!!
Kataratibu viongozi wakaambie kaache kashfa kwenye pesa yake nimekasikia Mara kadhaa kakisema mgombea wachama cha mbowe mimi sikijuwi chakilichp sajiliwa kinaitwa chama chambowe kamayupo mgombea wachama kwajina Hilo mnifumbue macho kamataratibu hawezi kukutamka mgombea wa chadema bora aushone msajili kemea hili
 

Hii ni hoja ya msingi. Hizi ndo hoja za kujadili, sio matusi na kejeri. Kiongozi nakushauri hoja hii ipelekwe kwnye platform sahihi. Hapa itaharibiwa vby mno. Lkn hata isipoharibiwa, huwezi kupata matarajio yako humu. Lkn nakupongeza kwa kukumbushia hoja hii.
 
Wakati Lissu akiifuta CCM Iringa watu wapo busy eti bomba la mafuta miaka mitano kila siku ni unzinduzi wa bomba la mafuta tu.

Miaka 5 imeisha hakuna kinachoendelea leo ndio uwaambie watu eti bomba la mafuta.

Lissu kamatia hapo hapo mpaka akimbie aende huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…