Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Leta updates za kushikana uchawi huko CCM!! Naona hadi mzee kakodi majeshi kwa mseveni leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mnatia aibu sana mkuu! Hivi mnafikiri kila mtu hapa ni mbumbumbu?

Yani jamaa kaokota picha sijui wapi huko alafu ndio anasema eti Lisu Iringa,!

Lisu mwaka huu atapata aibu ambayo hakuitegemea.

Mambo haya ya kufoji picha tumezoea kuyaona huko ccm, lakini siku hizi mambo yamekuwa kinyume chake
 
Kama si za kweli si ulete picha au video za kweli????
Tumesema leteni updates za kushikana uchawi huko Lumumba sio kuzindua mradi mmoja mara nne
 
Morogoro picha zipo za kutosha tatizo ni wewe mpumbavu utlfuatilii chochote
 
Acha kumsema vibaya mdogo wangu
Nisamehe Sana Mkuu Wala sikua na Nia mbaya......nilitaka tu nijue Pumzi yake ya masaa 32 mfululizo kupost MAZURI ya mh.Lissu aliipata kupitia vitu vp?😁😁

Nimemuombea awe Balozi Wetu Ikiwa Mwamba ataingia ikulu😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…