Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Mbona watu wachache sana? Nmekata matumaini bora enzi za mzee Lowassa palijaa hapa
 
Sasa ni mda wa reality, kama atatikisha 5% ya kura za magufuli aje no wape kiwanja wajenge ofisi
 
TbC kama wekurupushwa hivi kuonyesha, hivi ndo tuseme hawana DRONES au hawajasajiri? Au hawana tripod stand ndefu? Au crane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…