Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatuhangaiki na TBCHaya TBC mliokua mnailalamikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuhangaiki na TBCHaya TBC mliokua mnailalamikia
Sababu ya kijinga hii, kwani Nani amekwambia tbc pekee ndo wanaorekodi tukio Zima mbona Mimi naangalia channel za YouTube sioni hata hiyo nyomi.TBC wanameweka camera angle ambayo huwezi kuona idadi ya watu!
wacha tuu Mkuu yaani aibu tupu yani kama simu ya tochiTBC wanameweka camera angle ambayo huwezi kuona idadi ya watu!
Siamin....!Aisee!
Picha za TBC zinawekwa kimkakati, hawaonyeshi umati wa watu, sasa utashangaa kesho watakavyoonyesha umati JamhuriHaya TBC mliokua mnailalamikia.
Umeona eheeTBC wanameweka camera angle ambayo huwezi kuona idadi ya watu!
[emoji23][emoji23][emoji23]TBC wanameweka camera angle ambayo huwezi kuona idadi ya watu!
Watu hakunaTBC wanameweka camera angle ambayo huwezi kuona idadi ya watu!
Zitumwe picha kuthibitisha hayaTBC wanameweka camera angle ambayo huwezi kuona idadi ya watu!
TBC imefanyaje?Siamin....!
Hivi ni TBC au macho yangu....?
Watu wako busy kujitafutia mkate, hawana muda kumsikiliza wakala wa Amsterdam,wacha tuu Mkuu yaani aibu tupu yani kama simu ya tochi