Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Unatutishia ??Mnaipenda Chadema eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatutishia ??Mnaipenda Chadema eeh
Hahaaha... Watu hamna makamanda acheni kupanicTBC ni takatakaaaa
Salaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam.
Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu Mwalimu mgombea mwenza.
Kampeni za Uchaguzi Mkuu zilifunguliwa rasmi tarehe 26 Agosti na zitahitimishwa tarehe 27 Oktoba 2020 ambapo kesho yake yaani Jumatano itakuwa ni siku ya uchaguzi. Katika uchauzi huu, Lissu atachuana na wagombea wengine 14 akiwemo Dk. John Magufuli, mgombea wa Chama cha Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Ibrahim Lipumba (CUF), Yeremia Maganja (NCCR-Mageuzi).
Nitawaletea Kila kinachojiri.
View attachment 1550719View attachment 1550720View attachment 1550721
Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara na Mwalimu, naibu Katibu Mkuu-Zanzibar tayari wamewasili uwanja hapo.
Ulinzi umeimarishwa katika viwanja hivyo, ambapo kuna baadhi ya askari polisi wa kawaida na wale wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Pia, kuna walinzi maalum wa Chadema ambao wanafanya kazi ya kuongoza watu waliofika katika kampeni hizo.
======
UPDATES: 1600HRS
Mkutano Umeanza kwa Kuimba Wimbo wa Taifa na kufuatiwa na Maombi kutoka Madhehbu mbalimbali
Ahahahah,TBC wajanja sana walipoona JPM anachanwa wakarudi studioo...ahshshsh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona hata kwenye vichanel vyenu vya youtube mambo ni yale yale?Please wafukuzeni TBC hapo uwanjani
Pwahahaha!!! Mwe mwe mwe yamekuwa hayo.TBC washaanza yao!
Enzi za lowassa cameras zilikua zinazunguka uwanja mzima hii ya leo imepangwa kimkakati.
Wameshaanza kukosa uvumilivu na kukatisha katisha makamanda wakiongea. Hivi hakuna channel nyingine inayoonesha?Haya TBC mliokua mnailalamikia.
Mkuu siyo kosa langu,hapo kuna waya wa DStv,waya wa cable,na mengineyo,mkuu mbona una mawaya mengi sana hiv
Duuuh kweli hakuna nyomi aisee naona Hapo vijana Hadi wanapata Nafasi ya kuchati kwa smartphone bila hata shida kabisaa.Niko mubashara.....View attachment 1550722
🤣 🤣🤣 wamepwaya sana. Na leo ni fuunguzi mpaka october 28 watu watakuwa hawaendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja mkuu bado wapo wanajaribu kuzifanyia multiplication editing..
Maana siyo kwa kupelea huko.