Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Huku akizungumzia masuala ya ajira

Ni baada ya mgombea wa chadema kuanza kumsema Magufuli jinsi alivyoshindwa kuwapandisha mishahara wafanyakazi kwa muda wa miaka 5


My take Tbc wamefata Nini pale kama kazi yao Ni kukata matangazo kisa anasemwa rais Magufuli?.
 
Salaam Mkuu,

leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam.

Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu Mwalimu mgombea mwenza.

Kampeni za Uchaguzi Mkuu zilifunguliwa rasmi tarehe 26 Agosti na zitahitimishwa tarehe 27 Oktoba 2020 ambapo kesho yake yaani Jumatano itakuwa ni siku ya uchaguzi. Katika uchauzi huu, Lissu atachuana na wagombea wengine 14 akiwemo Dk. John Magufuli, mgombea wa Chama cha Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Ibrahim Lipumba (CUF), Yeremia Maganja (NCCR-Mageuzi).


Nitawaletea Kila kinachojiri.
View attachment 1550719View attachment 1550720View attachment 1550721
Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara na Mwalimu, naibu Katibu Mkuu-Zanzibar tayari wamewasili uwanja hapo.

Ulinzi umeimarishwa katika viwanja hivyo, ambapo kuna baadhi ya askari polisi wa kawaida na wale wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).

Pia, kuna walinzi maalum wa Chadema ambao wanafanya kazi ya kuongoza watu waliofika katika kampeni hizo.

======

UPDATES: 1600HRS

Mkutano Umeanza kwa Kuimba Wimbo wa Taifa na kufuatiwa na Maombi kutoka Madhehbu mbalimbali

Duuu km nilivyosema wakigonga msumari watangazaji wanaongea
 
Duuh huyu mgombea wa Ilala aisee kumbe ndio mana TBC huwa hawarushi matukio ya CHADEMA sasa nimeelewa chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kuwa sehemu ya uhuni wa namna hiii.
 
mkuu mbona una mawaya mengi sana hiv
Mkuu siyo kosa langu,hapo kuna waya wa DStv,waya wa cable,na mengineyo,
Kdhia hii ingekwisha kama Serikali ingekuwa na King'amuzi chake chenye channeli zote muhimu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja mkuu bado wapo wanajaribu kuzifanyia multiplication editing..
Maana siyo kwa kupelea huko.
🤣 🤣🤣 wamepwaya sana. Na leo ni fuunguzi mpaka october 28 watu watakuwa hawaendi
 
Back
Top Bottom