Sio yale maccm yanyofunga kwa bngo flev na ijanawanaoimba huku wameshika sehemu za siriViongozi wa DINI katika ufunguzi hongera sana MANENO KUNTUU .....anga LIMEFUNGUKA
Mkuu hadi hurumaNi vigumu kutofautisha huu mkutano wa chadema na wa jahazi asilia 2015
Ukiambiwa hii ni chadema ya 2015 unaweza kumwaga damu.
Alifikiri kampeni ni sawa na kwenda mahakamani kutetea kesi za chademaHahahahaha!!! Si mpo uwanjani tupieni picha tuone.
[emoji1787] [emoji1787] Lisu atakoma mwaka huu.
Mbona watu wachache sana? Nmekata matumaini bora enzi za mzee Lowassa palijaa hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja mkuu bado wapo wanajaribu kuzifanyia multiplication editing..Hahahahaha!!! Si mpo uwanjani tupieni picha tuone.
[emoji1787] [emoji1787] Lisu atakoma mwaka huu.
Wanaogopa kwenda kufokewa.Watu ni wachache, sijui kwa nini
mkuu mbona una mawaya mengi sana hivNiko mubashara.....View attachment 1550722
Aisee kweli wameondoa sautiTBC washaanza yao!