Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Aise mkutano umepowa km maji yaliyoko kwenye mtungi. yaan yale ya hamna lowassa hamna kabisa. ila hakuna atakayekuja kufikia Lowassa
 

Attachments

  • Screenshot_20200812-151627.png
    Screenshot_20200812-151627.png
    181.3 KB · Views: 3
WANANCHI washaona CDM hawana jipya zaidi ya kutafuta Huruma jukwaani.

Wanakusanya nguvu kwa ajili ya kesho kusikiliza Sera zenye tija kwao za rais wa JMT.

Ni aibu mapokezi ya Carlinhos wa Yanga kuwa Makubwa na yenye shamlashamla kuliko uzinduzi wa Chama kikubwa Kama CDM.
 
Watanzania hawawezi kumchagua Amsterdam kwa mgongo wa Lisu
 
Hahahahaha!!! Si mpo uwanjani tupieni picha tuone.
[emoji1787] [emoji1787] Lisu atakoma mwaka huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja mkuu bado wapo wanajaribu kuzifanyia multiplication editing..
Maana siyo kwa kupelea huko.
 
Tbccm wameanza, anuary na eliza wanaongea badala ya kuacha tusikilize wanachoongea chadema
 
Back
Top Bottom