Ameongea utumbo sana hana akili na MTU mzimaHuku akizungumzia masuala ya ajira
Ni baada ya mgombea wa chadema kuanza kumsema Magufuli jinsi alivyoshindwa kuwapandisha mishahara wafanyakazi kwa muda wa miaka 5
My take Tbc wamefata Nini pale kama kazi yao Ni kukata matangazo kisa anasemwa rais Magufuli?.
Raia wamechoka kuambiwa zungusha mikono na kiunoMkuu hadi huruma
Ushakua uhuni tena..?Duuh huyu mgombea wa Ilala aisee kumbe ndio mana TBC huwa hawarushi matukio ya CHADEMA sasa nimeelewa chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kuwa sehemu ya uhuni wa namna hiii.
Si mlisema wanaokuja kujaa sio wapiga kula ? Kwamba wahuni na joblessMbona nyomi siyo Ile tuliyotarajia au ndo watu washaanza kumuchoka Kamanda.
Sasa hapo ni sehemu ya kutangaza sera au kumponda Magufuli?Wakianza kumponda magufuli wanatoa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. TBC Mungu anawaona
TBC LIVEWekeni YouTube Livestream link tufuatilie
Unapoelekea utaunguza hiyo nyumbaNiko mubashara.....View attachment 1550722
Hizo ndio sera za chadema mkuu.Duuh huyu mgombea wa Ilala aisee kumbe ndio mana TBC huwa hawarushi matukio ya CHADEMA sasa nimeelewa chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kuwa sehemu ya uhuni wa namna hiii.
Mkuu siamini ninachokionaHahahahaha!!! Si mpo uwanjani tupieni picha tuone.
🤣 🤣 Lisu atakoma mwaka huu.