Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Hawafai hawa,yaani Magufuli akisemwa tu wanakata,halafu picha zao wala hawazungushi Camera.Camera imebase kwenye jukwaa tu.Tunataka tuone na Nyomi bwana.Magufuli siyo malaika bwana ,akisemwa mnataka matangazo.SHAME ON YOU TBCMAGUFULI.
 
Huku akizungumzia masuala ya ajira

Ni baada ya mgombea wa chadema kuanza kumsema Magufuli jinsi alivyoshindwa kuwapandisha mishahara wafanyakazi kwa muda wa miaka 5


My take Tbc wamefata Nini pale kama kazi yao Ni kukata matangazo kisa anasemwa rais Magufuli?.
Ameongea utumbo sana hana akili na MTU mzima
 
Duuh huyu mgombea wa Ilala aisee kumbe ndio mana TBC huwa hawarushi matukio ya CHADEMA sasa nimeelewa chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kuwa sehemu ya uhuni wa namna hiii.
Ushakua uhuni tena..?
 
Kama kawaida ya TBC 1 wznapoona dswa inaanza kuingia wao hukatisha matangazo badala yake watangazaji wanatuhutubia ili tusisikie ukali wa PPF, tutegemee baadae watachomoa betri.
 
Wabunge wachadema kwenye majimbo mengi ya Dar ni wanawake
 
Uzinduzi wa kampeni @chadematzofficial Zakhiem, Mbagala - Dar es Salaam ( 503 X 640 ).jpg
 
Aliye msikia mbunge wa mkulanga😂😂😂😂😂
 
Wamemzimia Lema mike baada ya kusema nchi inaendeshwa kama genge la wahuni
 
Tbc wajinga Sana, wakisikia wameanza kutema checked wanakatisha.

Acheni ujinga
 
Back
Top Bottom